narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
ahsante kwa marekebishoInaitwa tcp/ip sio "tcp"
hivyo navyo sivijui unaweza ukanichambulia.Ongezea Websocket, V2ray,DNS na UDP.
Ahsante sana na kama haitakuwepo w.w.w. Je itakuaje?TCP (Transmission Control Protocol) ni aina mojawapo ya mawasiliano ya mtandao inayotumika kuhamisha data kati ya kompyuta mbili. Inasaidia kuhakikisha kuwa data inatumwa kwa usahihi na kwa utaratibu sahihi.
WWW (World Wide Web) ni huduma ya mtandao inayotumia HTTP (Hypertext Transfer Protocol) kuonyesha kurasa za wavuti. TCP hutumika kama msingi wa usafirishaji wa data kwa HTTP. Kwa maneno mengine, TCP inasafirisha data kati ya kompyuta, huku HTTP ikiwa na jukumu la kuunda na kutafsiri data hiyo kuwa kurasa za internet zinazoweza kusoma.
HTTP ni teknolojia inayotumika kuhamisha data kati ya seva za internet na Inasaidia kuunda na kutafsiri data ikiwa ni pamoja na maandishi, picha, video, na sauti. Ingawa WWW haiwezi kufanya kazi bila HTTP,
HTTP inaweza kutumika kwa huduma zingine za mtandao isipokuwa WWW. Kwa mfano, HTTP inaweza kutumika kupakua faili au kutuma barua pepe.
Mawasiliano yangekuwa magumu naAhsante sana na kama haitakuwepo w.w.w. Je itakuaje?
Mawasiliano yangekuwa magumu na
ya polepole sana. Tungelazimika kutegemea njia za zamani za mawasiliano kama vile barua, simu, na mazungumzo ya ana kwa ana. Hii ingefanya iwe vigumu kuwasiliana na watu walio mbali na sisi.
Hizi ni concepts za layers na protocals za internet, haitawezekana kukuelezea vizuri zinavyofanya kazi hapa maana ni somo kabisa au kozi kabisa ya CCNA itakayokutaka ujue kwa hatua ramani na devices za mawasiliano ya internethivi vitu kidogo vimekuwa vinanichanganya katika operate yake
tcp ina intaract vip na w.w.w.?
na watu wanasema w.w.w. haiwez kufanya kazi bila http hii http ina uhusiana vipi na hapa?
tukiiondoa w.w.w(world wide web) je tutaweza kupata intanet?
intanet inatufikiaje sisi mbona tukitumia baadh ya vpn tunapata intanet bure?
ni hayo tu machache wakuu naomba majibu hapo
Yeah ni kubwa mno alafu vitu hv wamekuwa tumia lugha ngumu ya kiengereza katika kuvifafanuaHizi ni concepts za layers na protocals za internet, haitawezekana kukuelezea vizuri zinavyofanya kazi hapa maana ni somo kabisa au kozi kabisa ya CCNA itakayokutaka ujue kwa hatua ramani na devices za mawasiliano ya internet