Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza
Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani awatengenezee website ya mawasiliano. Kaiba idea katengeneza yake.
Kuna The pirate of silicon valley, hii inahusu story ya Microsoft na Apple. Kama jina lenyewe linavyosema humi kila mtu ni haramia.
Kuna hii comedy series inaitwa Sillicon Valley humo kila mtu ni mwizi wa technolijia ya mwingine.
Bado tuje kwenye tech Giants za China, karibu zote ni copy za makampuni ya Marekani na inasemwa kuwa kampuni za China zinaongoza kwa kuibiana tech.
Inaonekana kwenye tech industry huwezi survive bila kuwa mwizi.