Hivi Terminologies hizi bado zipo kwenye Siasa za Tanzania kweli?

Hivi Terminologies hizi bado zipo kwenye Siasa za Tanzania kweli?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Posts
1,246
Reaction score
402
Just down the memory lane nimekumbuka terminologies hizi tulizojifunza enzi zile za TANU & ASP na baadaye mwanzoni kabisa mwa CCM. Sijui kama bado zipo na kama zipo zina maana zenye nguvu kama za wakati ule?

1. Kabaila
2. Bepari
3. Kupe
4. Mnyonyaji
5. Kabwela
6. Mtwana
 
Hapo ulitaka kusema nini? maana yake waliopo madarakani kwa sasa ndio Majina yanayowafaa! Acha uchokozi!....
 
Siku hizi kuna majina mapya kama
1.Mafisadi papa
2.mafisadi nyangumi
3.Wawekezaji
4.Wahisani
 
Siku hizi kuna majina mapya kama
1.Mafisadi papa
2.mafisadi nyangumi
3.Wawekezaji
4.Wahisani

1. Kabaila - sijui anaitwaje kwa sasa
2. Bepari - majasilia mali
3. Kupe - fisadi
4. Mnyonyaji - Ufisadi
5. Kabwela - watu wa kipato cha chini
6. Mtwana - wahisani/wawekezaji/ watoa misaada
 
Terminology mpya ni Magamba, nyoka mfukoni, mbayuwayu na ujingaujinga mwingine mwingi wa zezeta wetu mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom