Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

Hivi TFF hawajui kama magari ni silaha kwenye viwanja vya mpira

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,214
Haya magari yanayopaki ndani ya viwanja vya mpira vp kama siku yakatumiwa na wahalifu kushambulia wachezaji??
Maana yanakua mita chache toka kwenye kiwanja..pia haipendezi kabisa hata kwenye urushaji wa matangazo ya mpira

TFF ipige marufuku magari kuingia ndani ya viwanja wakati wa mechi za mpira.
 
uwanja wa majimaji songea mechi ikikaribia kuisha kuna difenda ya polisi inazunguka uwanja kwa kasi km wapo barabara kuu, sasa siku tairi ipasuke gari iingie uwanjani tutashuhudia maafa ya vifo vya wachezaji wetu
 
Naunga mkono hoja, magari hayapaswi kuwepo uwanjani dhaidi ya ambulance tu! Hii ni kiusalama zaidi, uwanjani huwaga kuna halaiki ya watu, mashumbulizi ya kigaidi mengi yana tumia magari. Pia nipicha mbaya kwa watu wanao angalia kwenye TV na yanakanyaga wire za cameras za broadcaster na kumpa usumbufu wa kufanya kazi yake.
 
uwanja wa majimaji songea mechi ikikaribia kuisha kuna difenda ya polisi inazunguka uwanja kwa kasi km wapo barabara kuu, sasa siku tairi ipasuke gari iingie uwanjani tutashuhudia maafa ya vifo vya wachezaji wetu
Mimi nikipoteza ndg kwa sababu ya ujinga nakwenda Kongo au zenji natupia mtu jini
 
Kwa kweli inakera sana sijui kwa nini TFF wanaruhusu mambo ya kishamba hivi kwenye soka letu. Viwanja vijenge parking na kuweka ulinzi.
 
Back
Top Bottom