Mimi nikipoteza ndg kwa sababu ya ujinga nakwenda Kongo au zenji natupia mtu jiniuwanja wa majimaji songea mechi ikikaribia kuisha kuna difenda ya polisi inazunguka uwanja kwa kasi km wapo barabara kuu, sasa siku tairi ipasuke gari iingie uwanjani tutashuhudia maafa ya vifo vya wachezaji wetu