jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hili ni swali kwa TFF.
Je TFF wana kitengo na bajeti ya uhamasishaji wa ushindi kwa timu yetu ya Taifa au hata timu zinazowakilisha Taifa?
Hivi hawa TFF wanategemea washabiki wa Taifa Stars ni wale wa kujitolea tu?
Katika maandalizi ya mechi kipengele hiki wanakizingatia?au wanategemea madhabiki wa Simba na Yanga washabikie kwa niaba ya Taifa?
Je kuna bajeti ya kuhakikisha Taifa Stars inashingiliwa?kama ipo nani anaila?