jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Oct 16, 2018 #1 Hili ni swali kwa TFF. Je TFF wana kitengo na bajeti ya uhamasishaji wa ushindi kwa timu yetu ya Taifa au hata timu zinazowakilisha Taifa? Hivi hawa TFF wanategemea washabiki wa Taifa Stars ni wale wa kujitolea tu? Katika maandalizi ya mechi kipengele hiki wanakizingatia?au wanategemea madhabiki wa Simba na Yanga washabikie kwa niaba ya Taifa? Je kuna bajeti ya kuhakikisha Taifa Stars inashingiliwa?kama ipo nani anaila?
Hili ni swali kwa TFF. Je TFF wana kitengo na bajeti ya uhamasishaji wa ushindi kwa timu yetu ya Taifa au hata timu zinazowakilisha Taifa? Hivi hawa TFF wanategemea washabiki wa Taifa Stars ni wale wa kujitolea tu? Katika maandalizi ya mechi kipengele hiki wanakizingatia?au wanategemea madhabiki wa Simba na Yanga washabikie kwa niaba ya Taifa? Je kuna bajeti ya kuhakikisha Taifa Stars inashingiliwa?kama ipo nani anaila?
The Boldly JF-Expert Member Joined May 21, 2017 Posts 2,377 Reaction score 5,147 Oct 16, 2018 #2 Wakikujibu naomba unitag...
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Oct 16, 2018 #3 aisee hili nalo jipya kwangu,, nijuavyo mimi timu inajiongezea mashabiki na wapenzi kutokana na matokeo mazuri na mpira mzuri uwanjani,, sijawahi kusikia popote eti uongozi unalipa kikundi cha watu ili kusapoti timu fulani,,
aisee hili nalo jipya kwangu,, nijuavyo mimi timu inajiongezea mashabiki na wapenzi kutokana na matokeo mazuri na mpira mzuri uwanjani,, sijawahi kusikia popote eti uongozi unalipa kikundi cha watu ili kusapoti timu fulani,,
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Oct 16, 2018 #4 Fika ofisini kwetu upate taarifa na utaratibu Wa masuala hayo uliyouliza
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Oct 17, 2018 #5 Tifua tifua
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 17, 2018 #6 Unataka tff iwe na kitengo cha propaganda?
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Oct 17, 2018 Thread starter #7 wa kupuliza said: Unataka tff iwe na kitengo cha propaganda? Click to expand... Ni muhimu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 17, 2018 #8 Jingalao
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Oct 17, 2018 #9 Ndio tunao wengi tu