Hivi thamani ya Pogba ni zaidi ya € milioni mia?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Pamoja na kuwa midfielder mzuri kweli thamani ya Pogba inafikia € milioni mia? Sifa zipi zinapelekea Pogba kuwa na thamani hii ya kutisha?
 
Biashara Zinamengi Sana Ndugu Hata Mi Nashangaa Lakn Anaweza Kuwa Mzuri Coz Hata C Ronaldo Alionekana Kuwa Wakawaida Sana Wakat Anakuja Man Utd Lakn Leo Anatisha.

Tumpe Muda Maana Umri Wake Ni Mdogo Anaweza Kufika Mbali Sana.
 
Ndo maan wazungu wanatudharau kumbe sisi wenyew ngozi nyeusi tunaoneana wivu na hatutaki kumpa mtu mweusi sifa zake...angekuwa mzungu hapo ungesema pesa haitoshi....mtoa mada rudi shule upumbavu wa kutojipa heshima utoke
 
Mkuu soma kwa makini hio mada, mtoa mada ameuliza, so ilikua ni simple tu ,wewe kuandika hoja yako , mbona watu unaonekana unapenda shari.
 
Pamoja na kuwa midfielder mzuri kweli thamani ya Pogba inafikia € milioni mia? Sifa zipi zinapelekea Pogba kuwa na thamani hii ya kutisha?
Unajua bhana nadhan ulaya mchezaji anapokua anauhitaj mkubwa basi lazima hata bei ipandishwe,
Alf pia nadhan man u wanategemea kurudisha hela yao kwa njia ya kuuza jezi zenye jina lake...
Ni mawazo yangu tu
 
Mkuu soma kwa makini hio mada, mtoa mada ameuliza, so ilikua ni simple tu ,wewe kuandika hoja yako , mbona watu unaonekana unapenda shari.
Watu wengine wa ajabu sana. Ilikuwa anyamaze tu au ajibu Pogba anazo sifa a, b, c ambayo zinapelekea kuthaminiwa sana. Hayo ya waafrika oh, sijui wazungu blah blah completely irrelevant to topic.
 
mi nikimthaminisha pogba naona gharama yake haizidi £50 mill ,fedha za usajili hua inapanda kulingana na maswala mengine kabisa ya kimkataba mbali na quality ya mchezaji.
 
Timu yake ndio imemthaminisha kwa hiyo bei,wao ndio wanakua umuhimu wake ndio maana wameweka bei kubwa. Angekuwa wa kawaida angeuzwa bei ndogo na tmu inayomtaka isingetoa hiyo £92
 
hapo angekuwa mzungu basi hoooo ngonjera nyingi HUYO BALE PALE MADRID ANAKITUGANI KIPYA over
 
Kitendo cha Pogba kuuzwa kwa £100 imefanya kila timu sasa kuuza mchezaji kwa bei kubwa mno mfano Higuain, Lukaku, Stone, Icardi, larcazete etc.
 
Ilkay Gundogan(25 yrs old)=£20m
Leroy Sane(20 yrs old)=£37m
Gabriel Jesus(19 yrs old)=£27m
Paul Pogba(23 yrs old)=£110mm
Insanity!!!
 
Ni mzur bu hafiki thaman hio kabisa
Kwa hiyo waliomthaminisha kwa bei hiyo na walionunua kwa bei hiyo ni wapuuzi.

Watanzania tunaongea sana kana kwamba ni wataalamu wa kila jambo..Wale wanaujua mpira na wanafanya biashara hiyo ya mpira miaka na miaka wakati sisi hata hatujui lolote then anatokea mtu anasema hana thamani hiyo...
 
Ni mtazamo wangu tu mkuu...na sio mm tu mwny mtazamo huo kwan hata zidane,wenger na klopp na wao wamesema kuwa pogba ni mchezaj mzur but si wa thaman ya Euro 100mil..sasa cjajua kwann unahukum watanzania tu kwamb wana matatizo....you must have other problems to focus on achana na haya mambo ya mpira
 
Acha uzembe wa KIFIKRA...
Pogba hana thamani hiyo..!
 
Pamoja na kuwa midfielder mzuri kweli thamani ya Pogba inafikia € milioni mia? Sifa zipi zinapelekea Pogba kuwa na thamani hii ya kutisha?
Pogba anastaili kuuzwa kwa hilo dau. Kwa sasa hakuna kiungo anayeweza kufananishwa nae. Uafrika ndio ajabu? Angekuwa mzungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…