Hivi thamani ya Pogba ni zaidi ya € milioni mia?

Wabongo tumetoka kwenye mada tunahamia kwenye rangi, swali lilikuwa rahisi sana na majibu yalipaswa kujikita kuzungumzia ubora wake na thamani yake kama vinafanana,binafsi sioni kama ana thamani hiyo kulingana na record zake na uwezo wake niliouona kwenye Euro.
 
Pogba anastaili kuuzwa kwa hilo dau. Kwa sasa hakuna kiungo anayeweza kufananishwa nae. Uafrika ndio ajabu? Angekuwa mzungu?
Hafikii hata nusu uwezo wa Kevin De Bruyne..!
Hana kiwango cha kumfikia Marco Verratti..!
Usije kuniuliza kwani hao wachezaji niliokutajia mourinho hajawaona..!?
Coz nitakujibu ni UJINGA wa mourinho na washauri wake..!
 
KWAKUWA NI MWEUSI MWENZETU BASI ANASTAHILI KUVUNJA REKODI
 
Wewe thamaani yako bei gani..... Tuanzie hapo
Thamani na bei vitu viwili tofauti. Nasema hivi bei ya Pogba hailingani na thamani kwa taratibu za soko huria. Man the price is more fascinating than the value.
 
Unajua bhana nadhan ulaya mchezaji anapokua anauhitaj mkubwa basi lazima hata bei ipandishwe,
Alf pia nadhan man u wanategemea kurudisha hela yao kwa njia ya kuuza jezi zenye jina lake...
Ni mawazo yangu tu
Upo sahihi kabisa. Hata wanauchumi wanaamini thamani ya kitu chochote kinatokana na two determinants ambazo ni Demand and Availability.
 
Upo sahihi kabisa. Hata wanauchumi wanaamini thamani ya kitu chochote kinatokana na two determinants ambazo ni Demand and Availability.
Bei ya Pogba sidhani inafuata kanuni za demand and supply. € 120 milioni kufuru.
 
Bei ya Pogba sidhani inafuata kanuni za demand and supply. € 120 milioni kufuru.
Nimezungumzia vitu vinavyoipa thamani ya kitu.mfano chumvi na sukari.sukari ipo juu kutokana na demand yake pamoja na availability yake kuwa very limited.bei ya pogba ni £89.
 
Huwa nawaza labda thamani ya pesa ndio imeshuka. Bale, Pogba, higuain, stones, stearling kweli ni wachezaj wazur ila wamenunuliwa kwa pesa nyingi kuliko thamani ya viwango vyao. Ukisikia bei ya lukaku utashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…