NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
kocha wa Taifa stars yupo kimya au ana wasubiri TFF watoke huko Tanga waje kumpangia kikosi?
Mpira wetu wa bongo ni hovyo sana upo kimchongo mchongo tu na tusije kushangaa kuona FEISAL SALUMU kuitwa taifa stars na wakati Hana mazoezi yoyote.