NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 Jun 13, 2023 #1 kocha wa Taifa stars yupo kimya au ana wasubiri TFF watoke huko Tanga waje kumpangia kikosi? Mpira wetu wa bongo ni hovyo sana upo kimchongo mchongo tu na tusije kushangaa kuona FEISAL SALUMU kuitwa taifa stars na wakati Hana mazoezi yoyote.
kocha wa Taifa stars yupo kimya au ana wasubiri TFF watoke huko Tanga waje kumpangia kikosi? Mpira wetu wa bongo ni hovyo sana upo kimchongo mchongo tu na tusije kushangaa kuona FEISAL SALUMU kuitwa taifa stars na wakati Hana mazoezi yoyote.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Jun 13, 2023 #2 Nashangaa sana, nikama hatupo serious na AFCON walio na interest tumeona Toka last week na masharti magum Kwa wachezaji
Nashangaa sana, nikama hatupo serious na AFCON walio na interest tumeona Toka last week na masharti magum Kwa wachezaji
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Jun 13, 2023 #3 Subiri Kwanza mkuu tumalizie kushangilia tuzo za michongo Sent using Jamii Forums mobile app
Caesar14 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2022 Posts 556 Reaction score 1,044 Jun 13, 2023 #4 NALIA NGWENA kuna muda akili zinakurejea kidogo tatizo lilianza ulipochagua upande ule!!