Naren
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 692
- 428
Habari wadau!
Binafsi sijawahi tumia hiki kifaa au kukikuta kinatumika mahala popote nilipoenda( kwa majirani, marafiki, ndugu n.k) em' tufahamishane kinakazi gani na kunatofauti gani kati ya mikate tunayoinunua dukani na ile inayowekwa kwenye toaster?
COZ:Kibongobongo tusije tukawa tunalalamika mikate haina ladha kumbe hatujui namna ya kuiandaa