Toaster ni kifaa,Toast ni kitendo,Unanua mkate dukani,unachomeka slesi za mkate ili ziwe kaukau kwa kiasi unachotaka,maana mle ndani ya toaster kuna vitu kama coil,then unapaka madikodiko unayo taka,inafanya mkate usiwe wa baridi,na ukiopaka jam na siagi usiwe unafyonza madikodiko!
Habari wadau!
Binafsi sijawahi tumia hiki kifaa au kukikuta kinatumika mahala popote nilipoenda( kwa majirani, marafiki, ndugu n.k) em' tufahamishane kinakazi gani na kunatofauti gani kati ya mikate tunayoinunua dukani na ile inayowekwa kwenye toaster?
COZ:Kibongobongo tusije tukawa tunalalamika mikate haina ladha kumbe hatujui namna ya kuiandaa
sio kweli kayaman,haibaniki cookies wala haiongezi taste!ni ya kukausha slesi za mikate!toaster kazi yake ni kubanika slice za mkate na cookies nyingine for better taste!
taste ya toasted bread hadi ukawa wa brown ni tofauti kabisa na mkate ulioutoa dukani kwa mangi!sio kweli kayaman,haibaniki cookies wala haiongezi taste!ni ya kukausha slesi za mikate!
Kwahiyo haukuuliza matumizi yake google??Nimetumia Google translate.
kumbe ndio hivyoToaster ni kifaa,Toast ni kitendo,Unanua mkate dukani,unachomeka slesi za mkate ili ziwe kaukau kwa kiasi unachotaka,maana mle ndani ya toaster kuna vitu kama coil,then unapaka madikodiko unayo taka,inafanya mkate usiwe wa baridi,na ukiopaka jam na siagi usiwe unafyonza madikodiko!
Sio kweli Kayaman mkate taste yake ni moja kwa hyo kama huna toaster unatumia pan ya kukaangia mayai thats the substitute for a toaster!Kutoast ni kuukasha uwe kama kaukau tu huongezi kitu chochote utaongezaje taste!taste ya toasted bread hadi ukawa wa brown ni tofauti kabisa na mkate ulioutoa dukani kwa mangi!