Je linafaa kwa matumizi binafsi kama gari zingine ndogo... rav4, carina, premio n.k ktk matumizi ya kuendea job!!
Nauliza
au lipo kwenye class ya commercial van..
mana lina feature zote zinazopatikana kwenye gari ndogo especial hizi sedan car, confortability, fuel efficient, luxury, n.k tofauti na toyota hiece ...
Nauliza lipo class gani? au ndiyo matumizi siyo ya wabongo kuyageuza daladala..
kuna mwamba wangu mmoja anataka kitako chake sasa kipumzike kwenye hii brand, je kwa matumizi ya hapa na pale linafaa kwa hapa mjini...
2WD, 1990Cc, 1999Year.