Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Zimepita wiki tatu sasa tangu Ile interview ya watu 20, 000 lifanyike wakitaka watu 58 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmmmhhNadhani bado mkuu, ulifanya vizuri eeh hadi unategemea kuitwa?, mi matumaini ni 0.01 nimeona maswali yote chenga[emoji23]
Unaguna Nini sasa mkuu😒Mmmmmmmhh
Nadhani bado mkuu, ulifanya vizuri eeh hadi unategemea kuitwa?, mi matumaini ni 0.01 nimeona maswali yote chenga😂
😀😀😀 si mchezo hesabu mwa mwisho aisee kukomoana tu fyuu.😂😂😂😂😂😂 wengi walitaga ile pepa
kuna mskaji wangu alitoka bukoba alafu alichokikuta kwenye pepa😀😀😀😀😀😀..hakutaka hata kulala kwa hasira..😀😀😀 si mchezo hesabu mwa mwisho aisee kukomoana tu fyuu.
Watu wametoka kwenye pepa wamenuna balaaa😀kuna mskaji wangu alitoka bukoba alafu alichokikuta kwenye pepa😀😀😀😀😀😀..hakutaka hata kulala kwa hasira..
Mimi hapa mkuu ila hili nililijua mapemaa😜 nawewe umekatwa ?Tuliokula za uso tukutane hapa
Pole mkuu.Morning guys! Wameshaanza kutuma emails, naona nimepata yangu ya "they regret to inform me that they're unable to proceed with my application" [emoji19] all the best kwa mtakaofanikiwa mapambano yanaendelea[emoji123]
Thank you mkuuPole mkuu.
Inabidi mkuu uanze kijinoa kwenye hesabu ili ikitokea nafasi kama hii upige vilivyo...Thank you mkuu
Ntajitahidi mkuu! Ila nao kwani general questions hawawezi kutoa hadi iwe mihesabu tu 95% ??🤔Inabidi mkuu uanze kijinoa kwenye hesabu ili ikitokea nafasi kama hii upige vilivyo...