moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,904 Reaction score 4,902 Apr 3, 2021 #41 financial services said: Aisee watakua hawako fair sasa, maana mimi najiona kilaza hapa kwa kufeli pepa kumbe yawezekana siyo bana[emoji3] Click to expand... Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi.
financial services said: Aisee watakua hawako fair sasa, maana mimi najiona kilaza hapa kwa kufeli pepa kumbe yawezekana siyo bana[emoji3] Click to expand... Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi.
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Apr 3, 2021 #42 moyafricatz said: Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi. Click to expand... kila kitu kinafanyika, ukiona hujaitwa Ukweli wa nafsi yako unahusika. Mara nyingi baada ya kutoka katika chumba cha mtihani mtihaniwa huwa anajua matokeo ya alichokifanya.
moyafricatz said: Sasa mko 9800....waangalie ipi waaache ipi. Click to expand... kila kitu kinafanyika, ukiona hujaitwa Ukweli wa nafsi yako unahusika. Mara nyingi baada ya kutoka katika chumba cha mtihani mtihaniwa huwa anajua matokeo ya alichokifanya.