Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hongera kwa kuanza safari za treni ila mpaka sasa naona vichwa vya makwomwe. Cha mchongoko kipo wapi japo Mbarawa alituambia ndio walivyo nunua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeliwa puaHONGERA KWA KUANZA SAFARI ZA TRENI ILA MPAKA SASA NAONA VICHWA VYA MAKWOMWE.
CHA MCHONGOKO KIPO WAPI JAPO MBARAWA ALITUAMBIA NDIO WALIVYO NUNUA.
View attachment 3051888
Isije kuwa geresha tuu vikaishia kuwa makazi ya panyaHapo mbele naona hawajaweka kimfuniko chake
Kimeliwa pua
Walisema hivyo ndivyo watatumia wenye hadhi ya juu.HONGERA KWA KUANZA SAFARI ZA TRENI ILA MPAKA SASA NAONA VICHWA VYA MAKWOMWE.
CHA MCHONGOKO KIPO WAPI JAPO MBARAWA ALITUAMBIA NDIO WALIVYO NUNUA.
View attachment 3051888
Wajanja wanasubiri kuyapeleka kusiko julikana,ukiingia keko mpaka kutokea kamata Kuna magofu mengi ya viwanda na hakuna consolidation na hakuna anaejali.Walisema hivyo ndivyo watatumia wenye hadhi ya juu.
Wengine watumie vinavyoonekana.
Ukipita huko na trani yao utayaona mabehewa yale ya ghoroga wameyapaki yanapata kutu yakisubili bei sawa na za ndege ndege.
Mango wa kuua usafiri huo mbona upo siku nyingi.Wajanja wanasubiri kupeleka kusiko julikana, ukiingia ndani mpaka kutokea kamata Kuna mambo mengi ya viwanda na hakuna consolidation na hakuna anaejali.
Tatizo hizo treni zenye vichwa hivyo ni duni kwa ndani kuliko hili tulilo anza kutumia hapo ndiyo kimbembe kinapo anzia maana bei ya tiket ya hiyo treni ya EMU ni kubwa sana ila kwa ubora wa ndani na madhari ni duni je nani atatoa hela kubwa kupanda hiyo treni duniHONGERA KWA KUANZA SAFARI ZA TRENI ILA MPAKA SASA NAONA VICHWA VYA MAKWOMWE.
CHA MCHONGOKO KIPO WAPI JAPO MBARAWA ALITUAMBIA NDIO WALIVYO NUNUA.
View attachment 3051888
Kwani kwenye hizi trains abiria wanakaa kwenye kichwa? Ina tofauti gani wakubwa kutumia vichwa mchongoko na pangu pakavu kutumia vichwa komwe?Walisema hivyo ndivyo watatumia wenye hadhi ya juu.
Mpango wa kuua usafiri huo mbona upo siku nyingi.Wajanja wanasubiri kupeleka kusiko julikana, ukiingia ndani mpaka kutokea kamata Kuna mambo mengi ya viwanda na hakuna consolidation na hakuna anaejali.
Sasa hilo swali aulizwe Kadogosa.Kwani kwenye hizi trains abiria wanakaa kwenye kichwa? Ina tofauti gani wakubwa kutumia vichwa mchongoko na pangu pakavu kutumia vichwa komwe?