Tatizo letu binadamu ngono tumeigeuza starehe wakati ipo kwa ajili ya kuendeleza kizazi.Angalia wanyama wao huingiliana pale tu wanapokuwa 'on heat' na hicho kipindi kikipita wanalea mimba,wanazaa na kutunza ndama zao. Ngono sio jambo la lazima kila siku kama tunavyodhania ,kujiendekeza tu ndo kunatusumbua.Actually ukisoma historia ya mayogi wakubwa wa Himalaya na mashinto priests wakubwa wa Japan ya kale wao walikuwa hawajiruhusu kamwe kutoa shahawa zao maishani mwao na kwa kufanya hivyo walikuwa wanafikia purity(usafi wa ndani) wa hali ya juu sana na sura zao zikawa zinang'ara na wakawa wanakuwa na maono ya ajabu.Hata recently mtu kama Albert Einstein soma historia yake,hakuwa mtu wa ngono kwa sana.Tupunguze jamani.