eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Duh yani Dewji amuonee wivu Manara tena sababu ni dili za matangazo? Kweli tuna safari ndefu.Jamaa kamuonea wivu manara kwa deal anazopata kupitia mgongo wa simba itakua alimtuma aseme wanatakiwa mashabik wa simba tu kamgeuka tena
NdoivoDuh yani Dewji amuonee wivu Manara tena sababu ni dili za matangazo? Kweli tuna safari ndefu.
Lakn umesikia manara alichozungumza Leo kupitia E FM ni waz mo anatumia nguvu kubwa kumshusha manara na manara kasema ipo siku atasema yoteDuh yani Dewji amuonee wivu Manara tena sababu ni dili za matangazo? Kweli tuna safari ndefu.