Hivi tukisema Tanzania tujitenge kikanda,unahisi ni kanda gani watapeta na ni kanda gani watakufa njaa?

Me nahisi zitakazopeta ni hizi.
1.Lake zone
2.Southern Highlands
3.Nothern Highlands
4.Coast

Zitakazokufa njaa
1.Central zone
2.Southern zone
3.West zone
4.Zanzibar
Naaam, hizo kanda hapo chini we all know ni zile jamii zinazoridhika na umaskini
 
Me nahisi zitakazopeta ni hizi.
1.Lake zone
2.Southern Highlands
3.Nothern Highlands
4.Coast

Zitakazokufa njaa
1.Central zone
2.Southern zone
3.West zone
4.Zanzibar
Watu watakaokufa njaa asubuhi kabla ya kupambazuka ni watu wa Dar es Salaam.
 
Royal Tour imeleta majibu....
Tanzania imechukua nafasi tatu top 10 kwa Africa na Zanzibar ipo ndani
1.Tanzania
3.Serengeti
7. Zanzibar - Haitakufa, ndio kwanza watakua sana kiuchumi....
Hawa wakiwa ni nchi yao kamili, ikawa Free Port, mtakuwa hamsafiri kwenda China au Dubai, mzigo wote mtaufata Zanzibar na hela yote mtaipeleka huko ........
Nakumbuka walijaribu hivi miaka ya mwanzo ya 90, kila kitu Dar kilikua kinatoka Zanzibar.....

1739121328148.png
 
Hebu namba moja na namba nne zihamishie kundi la kwanza haraka sana acha masikhara
 
Serengeti Iko mkoa wa mara Ila ni Kama hii mbuga hainufaishi kabisa wilaya ya Serengeti, Hawa wakurya walikomalia ng'ombe na kucheza ritungu nini, saivi ndio wanaamka eti,inatakiwa Serengeti international airport, yaani mtalii anatua kia anapanda usafiri mwingine wakati angetua Serengeti ni km chache mno kuifikia mbuga , akalala hapo hapo Serengeti, Sasa akituma kia anasafiri like 400km Tena , inakuwa usumbufu kwa kwa mtalii ku incur excess cost
 
Hamna mkakati wa kunufaisha hizo wilaya, wageni wengi wanatokea arusha kwenda huko. Kungekuwa na airport ya kueleweka ingenufaisha basi tu
 
Serengeti Iko mkoa wa mara Ila ni Kama hii mbuga hainufaishi kabisa wilaya ya Serengeti, Hawa wakurya walikomalia ng'ombe na kucheza ritungu nini, saivi ndio wanaamka eti,inatakiwa Serengeti international airport, yaani mtalii anatua kia anapanda usafiri mwingine wakati angetua Serengeti ni km chache mno kuifikia mbuga , akalala hapo hapo Serengeti, Sasa akituma kia anasafiri like 400km Tena , inakuwa usumbufu kwa kwa mtalii ku incur excess cost
We unaongea utumbo, watalii hushuka KIA siyo kwenda Serengeti pekee, wanaanzia KINAPA, Tarangire, Manyara, Ngorongoro wanamalizia Serengeti. Usibanwe na mavi bure
 
Royal Tour imeleta majibu....
Tanzania imechukua nafasi tatu top 10 kwa Africa na Zanzibar ipo ndani
1.Tanzania
3.Serengeti
7. Zanzibar - Haitakufa, ndio kwanza watakua sana kiuchumi....
Hawa wakiwa ni nchi yao kamili, ikawa Free Port, mtakuwa hamsafiri kwenda China au Dubai, mzigo wote mtaufata Zanzibar na hela yote mtaipeleka huko ........
Nakumbuka walijaribu hivi miaka ya mwanzo ya 90, kila kitu Dar kilikua kinatoka Zanzibar.....

View attachment 3230707
Hizi propaganda na pesa Yako tu, hata wewe ukitaka ushinde shindanoa mwanamke mzuri mwenye shepu tunafanya mpango unakuwa namba 1,2 na tatu Dunia nzima
 
Hivyo kamfanyie lissu ashinde uchaguzi,
Au lissu choka mbovu, kadandia mtumbwi wa vibwego akidhani huko kuna asali.....
 
Back
Top Bottom