Yale yote tuliyoyakataa, tumetakubali bila hofu wala kutambua wazee wetu waliuawa kwa kutaka kuwa huru.viongozi wa afrika ni kama hawampingi mzungu tena.mwenye kuelewa ni kwa nini haya yanatokea anieleweshe.
Hatujiwezi! Tumeshindwa kujitawala! Tume prove sisi ni walemavu wa akili na hata vile tulivoachiwa na mkoloni tumeviua!
You can take an African out of the bush! but you can't take the bush out of an African!
Siwezi kumpinga mzungu na nitamheshimu sababu ametuzidi kila kitu!
Yale yote tuliyoyakataa,
tumetakubali bila hofu wala kutambua wazee wetu waliuawa kwa kutaka
kuwa huru.viongozi wa afrika ni kama hawampingi mzungu tena.mwenye
kuelewa ni kwa nini haya yanatokea anieleweshe.