The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nani hao watalala na viatu mwanangu au unadhani nami ni chawa wakati najulikana msimamo wangu usioyumba? Umenionea. Acha hii au nawe ni wale wale wanaohaha kutaka kutupaka maviii yao baada ya kulikoroga?Mnapima upepo kwa wananchi ili mjue jinsi ya kuamua?
Sasa iko hivi,
Akishinda mtalala na viatu
Akishindwa pia mtalala na viatu
Sasa wakitaka kuchochea moto kabla December 9 Lissu wafanye icho ulichokisema hapa Tanzania haiwezekani kutosha Lissu anaushawishi mkubwa ndani na Je ya nchi hii inaweza kugeuja Somali Lissu anapendwa sana watu wanasikilizia kuona serikali litafika wapi na maigizo yao siku wanatangaza Hukumu ndo yanaweza kua maandamano ambayo hajawahi kutokea suala la Polepole sio kwamba limepoa serikali safari hii haina nguvu ya UmmaLissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Lissu atapatikana na kosa gani wakati 'makosaa' yanayomkabili ni ya kupikwa na maimla na mazwazwa wetu?Sasa wakitaka kuchochea moto kabla December 9 Lissu wafanye icho ulichokisema hapa Tanzania haiwezekani kutosha Lissu anaushawishi mkubwa ndani na Je ya nchi hii inaweza kugeuja Somali Lissu anapendwa sana watu wanasikilizia kuona serikali litafika wapi na maigizo yao siku wanatangaza Hukumu ndo yanaweza kua maandamano ambayo hajawahi kutokea suala la Polepole sio kwamba limepoa serikali safari hii haina nguvu ya Umma
Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu mashitaka ya ugaidi.Lissu atapatikana na kosa gani wakati 'makosaa' yanayomkabili ni ya kupikwa na maimla na mazwazwa wetu?
Ukitembea na baiskeli zao nchale ukiirejesha kwao nchaleMnapima upepo kwa wananchi ili mjue jinsi ya kuamua?
Sasa iko hivi,
Akishinda mtalala na viatu
Akishindwa pia mtalala na viatu
Kwa ushahidi gani?Lissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Kwa katiba hii? Unamjua Lissu au unamsikia? Yule anakata Rufaa hata miaka 30 ijayoLissu anaweza kupatikana na hatia ya makosa ya uhaini ila hatanyongwa, atapewa msamaha wa Rais, kwa njia hiyo hataweza kugombea nafasi yoyote tena ya uongozi.
Jibu muluaaaa kabisa kunywa soda bill ni kwanguMnapima upepo kwa wananchi ili mjue jinsi ya kuamua?
Sasa iko hivi,
Akishinda mtalala na viatu
Akishindwa pia mtalala na viatu
Mbowe apitapikana na kesi ya ugaidi ya kujibu kwa ushahidi gani??Kwa ushahidi gani?
Hata mbowe kulikuwa hakuna ushahidi...angekomaa tu kama lissu ila ndiyo hivyo akatepetaMbowe apitapikana na kesi ya ugaidi ya kujibu kwa ushahidi gani??
Uchaguzi ushapita, walikua wanamuhifadhi tuView attachment 3499983
Kimsingi, katika kesi ya 'uhaini' inayomkabili Tundu Lissu ni kama imeilemea serikali. Je, mahakama itaendelea kuwa nyumba ndogo ya wauaji au itajikomboa na kutenda haki na haki ikaonekana inatendeka?
Je, kama Tundu Lissu atashinda, itakuwaje hasa tukizingatia kuwa, kwa sasa, taifa letu limegawanywa na watawala vipofu na viziwi majizi na mafisi ya kunuka?