Mkuu Zawadi, Zawadini, hii topic ingependeza sana kama ungeileta karibu na sikukuu ya muungano!, ili tuujadili Muungano wetu adhimu na adimu.Nimewaza sana kuhusu swala hili halafu nikawa najiuliza "hivi tusingekuwa na muungano leo hii tungekuwaje?" Swala hili limekuja baada ya kuona na kusikia mengi kuhusu huu muungano.
Mengine yanafurahisha na mengine yanakirihisha. Lakini mengine yanamfanya anayeyasikia au kuyasoma kupatwa na mshangao au wasiwasi wa nia ya kuwa na muungano. Hata hivyo mengine yanaweza kukuaminisha kwamba bila kuwepo muungano huu tusingekuwa hapa tulipo bali tungekuwa mahala pengine kabisa. Karibuni.
Mkuu Zawadi, Zawadini, hii topic ingependeza sana kama ungeileta karibu na sikukuu ya muungano!, ili tuujadili Muungano wetu adhimu na adimu.
Tusingeungana, sisi Tungekuwa Tanganyika, na tungekuwa mbali, kwa sababu kusingekuwepo makupe fulani!, ila na Zanzibar pia, chini ya Sultan, ingekuwa kama Dubai!
P.
Mkuu ruaharuaha , hili sii jina la heshima kumuita kiongozi wako!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanweMuhimu wapendwa wetu wengi kwa maelfu wangekuwa hai hivi leo. Tusingepata bahati mbaya ya kumjua na kutawaliwa huyu Shetani Samia.
Mtu aliyetoa amri kuua, kufira, kuteka, kupoteza, kutupa watu magereza, anajisifia kwa kazi yake jina gani anastahili.Mkuu ruaharuaha , hili sii jina la heshima kumuita kiongozi wako!. Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe
P
Sidhani kwamba Kuna mtu kalawitiwaMtu aliyetoa amri kuua, kufira, kuteka, kupoteza, kutupa watu magereza, anajisifia kwa kazi yake jina gani anastahili.
Watoto wako wangetekwa, kufirwa, kutupwa magereza, wangepitia ukatili Samia ungemuonaje huyo muuaji? Halafu anajisifia kwa vitendo vyake vya kidhalimu, kikatili aliyoyafanya ungempa jina gani linalomstahili?
Sidhani kwamba Kuna mtu kalawitiwa
Ufike mbali kwa sera za ujamaa na kujitegemea na crusade tena hadi dhidi ya watanganyika wenzenu!?Mkuu Zawadi, Zawadini, hii topic ingependeza sana kama ungeileta karibu na sikukuu ya muungano!, ili tuujadili Muungano wetu adhimu na adimu.
Tusingeungana, sisi Tungekuwa Tanganyika, na tungekuwa mbali, kwa sababu kusingekuwepo makupe fulani!, ila na Zanzibar pia, chini ya Sultan, ingekuwa kama Dubai!
P.
Mwangi na Agatha ni ndugu zako?Unapenda ligi. Watu kibao wametoa ushahidi. Boniface Mwangi Agatha Atuhaire wenyewe waliweka wazi kila kitu. Kosa lao ni kuhudhuria kesi mahakamani.
Kibao alimwagiwa Tindikali na mwili kukutwa na mateso ya kila aina. Inawezekana kabisa walimfanyika kila ushenzi sababu Shetani Samia anapenda kutesa raia.
Kenyan activist Boniface Mwangi speaks of 'sexual torture' in Tanzania
Boniface Mwangi says he has decided to speak despite the "shame and guilt" of being "sexually tortured".www.bbc.com