Hivi tutaandika post za kusifia vyuo mara udsm,sua,mzumbe,udom mpaka lini huo sasa ni ulimbukeni.

Hivi tutaandika post za kusifia vyuo mara udsm,sua,mzumbe,udom mpaka lini huo sasa ni ulimbukeni.

arafat mzee

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
7
Reaction score
0
katika hali ya kushangaza kila ukiingia jf jukwaa la elimu utakuta mara huyo kaweka vyuo top 5 ya afrika, mara huyu anasema chuo cha kata, mara huyu anasema chuo kikubwa afrika mashariki na kati,jamani humu jf jukwaa la elimu ni sehemu ya kuelmisha na kutaarifiana vitu vya msingi sio mtu kisa yuko chuo kikuu kila saa kusifu chuoni ukweli ni kwamba chuo kikuu ishu ni GPA yako kwanza,tuache uzamani yani watu wanajikuta kama ndio kizazi cha kwanza kusoma chuo kikuu ,na watu wa namna hiyo hawana tofauti na mwanafunzi anayeanza kwenda shule kajua tu kiingereza cha kusalimia kila mda hata akikutana na wanajamii wake hata kama hawajui atawasemesha kiingereza ,vyuo vilikwepo karne hizo mpaka sasa tuache ushamba.
 
Back
Top Bottom