Anthonio
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 202
- 21
Leo wakati natoka kazini na natembea kwa miguu, nikasikia wanafunzi wa kike waliokuwa mbele yangu wakimshutumu mwalimu wao mmoja kuwa amezidisha tabia yake mbaya ya kutembea na wanafunzi. Wakadai mwalimu huyo wataaluma amekuwa na tabia hiyo huku akiwadanganya wafunzi kuwa atawaonyesha maswali kwenye mitihani yoyote watakayofanya.
Dah! halafu shule yenyewe ni ya private na mmiliki wake ni dhehebu mojawapo la kikristo hapa Dodoma.
Hivi hawa walimu tuwafanyeje?
Dah! halafu shule yenyewe ni ya private na mmiliki wake ni dhehebu mojawapo la kikristo hapa Dodoma.
Hivi hawa walimu tuwafanyeje?