Wanashangaa! Wakifika MZUMBE UNIVERSITY wataona ni mambo ya kawaida!!!!....nikasikia wanafunzi wa kike waliokuwa mbele yangu wakimshutumu mwalimu wao mmoja kuwa amezidisha tabia yake mbaya ya kutembea na wanafunzi.....
walimu kutembea na wanafunzi ilikuwepo enzi zetu tunasoma na mpaka leo hii ipo na itaendelea kuwepo...wanafunzi wenyewe nao wanatakaga so tusilaumu walimu pekee yao