Samedi Amba JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 227 Reaction score 178 Sep 13, 2021 #1 Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi? Anayefahamu atujuze tafadhali.
Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi? Anayefahamu atujuze tafadhali.
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Sep 13, 2021 #2 Bado mkuu ...kupaya domain ya .tz au co.tz inahitaji uwe na 30k+ ila .com chap tu Godaddy kwa $0.99