Mapokeo hayo tuliyonayo,kutoka kwa MABABU ZETU hata kwenye VITABU vyetu vitakatifu mwanamke anaonekana hana haki kama ya mwenzi wake mwanaume. Ni ngumu sana hii issue,sababu tulipokuwa wadogo na mpaka sasa bado nasikia watoto wa kiume wakiambiwa au tukiwaambia eti unalialia nini kama mwanamke, au usiwe lazy km mwanamke, au mambo yake kama ya kike, hapa kichwani mwa mtoto wa kiume inamjenga kuwa OK kumbe mwanamke ni mtu asiye na uwezo kama mwanamme, katika shughuli nyingi mwanamke anatengwa anaonekana kama hafai kuwepo huko ingawa akipewa nafasi anaweza akafanya zaidi ya hata huyo mwanamme. Hii ndo inapelekea hata ndani ya NYUMBA mwanaume anaweza akachinja mtu akiibiwa mke wake wakati yeye MWANAUME anaweza akawa kazaa nje ya ndoa au hata ana VIMADA kibao tuu. Nakumbuka wakati naishi Morogoro miaka ya 1987-1989 kuna Mwalimu wetu alifumaniwa live kitaani akimegwa na mme wa mtu, yule mwalim aibu alihama na shule, lkn yule mme wa mtu watu walimsifia sana tuu dah jamaa mkali kala yule ticha, maana ticha alikuwa kifaa kweli kweli, mke wa yule jamaa mzinzi na yeye akaishia kufarijiwa na watu tu na mmewe kumuomba samahani yakaisha. ILA yule baba ndo angemfumania mkewe anamegwa sidhani km yule mwanamke angerudi salama kwao hahahahaha.Wengine wana sema kutokana na maumbile yalivyo tofauti mwanaume anaingia na kutoka lkn mwanamke anaingiliwa na kuachiwa *****. hii ndo inamfanya mwanaume asipende katu KUMEGEWA. HATA MIMI NTAUA MTU JAMANI. lkn simegi nje kwa heshima ya MAMSAP