Hivi ubora wa Yanga unaoimbwa kila wakati uko wapi?

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Nalazimika kuuliza hili swali kutokana na huu wimbo wa Yanga, kila siku Yanga ni bora, Yanga ni kubwa, wakiingia uwanjani ubora hauonekani.

Walikutana na timu yenye ubora Vipers wakapoteana, wakala 2. Walikutana na timu yenye ubora Simba wakapoteana, japo mpinzani alijivuruga mwenyew kipindi cha pili wakashinda. Ila ilionekana kabisa walipoteana, japo pia huenda kuruka ukuta nako kuliwasaidia.

Walikutana na timu yenye ubora Al Hilal wakalazwa chali. Walikutana na timu yenye ubora kidogo tu ya Azam ikalazimika watoe sare kwa gori la mpira uliotoka nje ila refa akawabeba wakatoa sare.

Kutokana na matokeo haya ya uwanjani, nalazimika tu kuwaza yafuatayo:

1. Je, wanajiona bora kwa sababu wana azizi Ki?
Kama ni hivyo basi wanakosea, maana huyu hana mafanikio yoyote Afrika zaidi ya kushindwa kuipeleka timu yake robo fainali msimu uliopita.

2 . Wanajiona bora sababu wana mayele?
Kama ni hivyo basi wanakosea, maana huyu na wenzake akina Moloko, Juma Shabani na wengine wakiwa na As Vita yao, walikaa nje ndani kwa Simba kwenye CACL na cha ziada ni kwamba, huyo Mayele anayeimbwa hajawahi kupata tuzo yoyote tangu azaliwe.

3. Wanajiona bora kwa sababu wana Morrison?
Kama ni hivyo basi wanakosea, maana huyu pale Simba alilazimika akae benchi mpaka alipoondoka Chama ndipo akapata namba.

4. Je, wanajiona bora sababu wana Fei?
Kama ni hivyo basi wanakosea, maana hana wasifu wowote kimatendo (ya soka) nje na ndani ya nchi labda kwa kuongea tu.

5. Wanajiona bora kwa sababu ya Nabi?
Kama ni hivyo basi wanakosea sana, maana hana rekodi yoyote nzuri tangu aanze kazi ya mpira, sanasana mwaka jana aliitwa Profesa kupitia mgongo wa mtu kisha akakutana na ubingwa wa Yanga wenye mashaka.

Enyi watu wenye ujuzi thabiti wa uchambuzi wa soka, nisaidieni, Yanga wanavyosema wana timu bora kitu gani kitanishawishi nami niamini hivyo?
 
Nalazimika kuuliza hili swali kutoka a na huu wimba wa yanga kila siku yanga ni bora yanga ni kubwa wakiingia uwa jani ubora hauonekani...
Subiri Tarehe 23/10/2022 ndio utajua hujui
 
Utoporooo zaidi ya miaka 25 hawajafanikiwa kuingia group stage ya CAF Champions League...mara ya mwisho kushiriki kombe la shirikisho (wao wanaliita kombe la loosers) ilikua mwaka 2016 ambapo walishika mkia kwenye kundilao😀😀
 
Nalazimika kuuliza hili swali kutoka a na huu wimba wa yanga kila siku yanga ni bora yanga ni kubwa wakiingia uwa jani ubora hauonekani

Walikutana na timu yenye ubora vipers wakapoteana wakala 2

Walikutana na timu yenye ubora simba wakapoteana japo mpinzani alijivuruga mwenyew second half wakashinda ila ilionekana kabisa walipoteana japo pia huenda kuruka ukuta nako kuliwasaidia

Walikutana na timu yenye ubora al hilal wakalazwa chali

Walikutana na timu yenye ubora kidogo tu ya azam ikalazimika wadraw kwa gori la mpira uliotoka nje ila refa akawabeba wakadraw;

Kutokana na matokeo haya ya uwanjani, nalazimika tu kuwaza yafuatayo:

1. Je, wanajiona bora kwa sababu wana azizi Ki?
Kama ni hivyo basi wanakosea maana huyu hana mafanikio yoyote afrika zaidi ya kushindwa kuipeleka timu yake robo fainali msimu uliopita

2 . Wanajiona bora sababu wana mayele?
Kama ni hivyo basi wanakosea maana huyu na wenzake akina moloko, juma shabani na wengine wakiwa na as vita yao walikaa nje ndani kwa simba kwanye CACL na cha ziada ni kwamba huyo mayele anayeimbwa hajawah kupata tuzo yoyote tangu azaliwe.

3. Wanajiona bora kwa sababu wana morrison?
Kama ni hivyo bas wanakosea maana huyu pale simba alilazimika akae benchi mpaka alipoondoka chama ndipo akapata namba

4. Je wanajiona bora sababu wana fei?
Kama ni hivyo basi wanakosea maana hana profile yoyote kimatendo (ya footbal) nje na ndani ya nchi labda kwa kuongea tu.

5. Wanajiona bora kwa sababu ya nabi?
Kama ni hivyo basi wanakosea sana maana hana rekod yoyote nzuri tangu aanze kazi ya mpira sanasana mwaka jana aliitwa profesa kupitia mgongo wa mtu kisha akakutana na questionable ubingwa wa yanga

Enyi watu wenye critical footbal analysis skills, nisaidieni, yanga wanavyosema wana timu bora kitu gani kitanishawishi nami niamini hivyo?
Wamewekeza kwenye vihongo kwa waamuzi na wachambuzi wengi wa mchongo ndiyo maana kelele nyingi ubora wa kawaida tu
 
Utoporooo zaidi ya miaka 25 hawajafanikiwa kuingia group stage ya CAF Champions League...mara ya mwisho kushiriki kombe la shirikisho (wao wanaliita kombe la loosers) ilikua mwaka 2016 ambapo walishika mkia kwenye kundilao[emoji3][emoji3]
Yan kundi lilikua na timu za kawaida Rayon Sport na Gor Mahia lakin wakashika mkia
 
Nalazimika kuuliza hili swali kutoka a na huu wimba wa yanga kila siku yanga ni bora yanga ni kubwa wakiingia uwa jani ubora hauonekani

Walikutana na timu yenye ubora Vipers wakapoteana wakala 2

Walikutana na timu yenye ubora simba wakapoteana japo mpinzani alijivuruga mwenyew second half wakashinda ila ilionekana kabisa walipoteana japo pia huenda kuruka ukuta nako kuliwasaidia

Walikutana na timu yenye ubora al hilal wakalazwa chali

Walikutana na timu yenye ubora kidogo tu ya Azam ikalazimika wadraw kwa gori la mpira uliotoka nje ila refa akawabeba wakadraw;

Kutokana na matokeo haya ya uwanjani, nalazimika tu kuwaza yafuatayo:

1. Je, wanajiona bora kwa sababu wana azizi Ki?
Kama ni hivyo basi wanakosea maana huyu hana mafanikio yoyote afrika zaidi ya kushindwa kuipeleka timu yake robo fainali msimu uliopita

2 . Wanajiona bora sababu wana mayele?
Kama ni hivyo basi wanakosea maana huyu na wenzake akina moloko, juma shabani na wengine wakiwa na as vita yao walikaa nje ndani kwa simba kwanye CACL na cha ziada ni kwamba huyo mayele anayeimbwa hajawah kupata tuzo yoyote tangu azaliwe.

3. Wanajiona bora kwa sababu wana Morrison?

Kama ni hivyo bas wanakosea maana huyu pale simba alilazimika akae benchi mpaka alipoondoka chama ndipo akapata namba

4. Je wanajiona bora sababu wana fei?

Kama ni hivyo basi wanakosea maana hana profile yoyote kimatendo (ya footbal) nje na ndani ya nchi labda kwa kuongea tu.

5. Wanajiona bora kwa sababu ya Nabi?

Kama ni hivyo basi wanakosea sana maana hana rekod yoyote nzuri tangu aanze kazi ya mpira sanasana mwaka jana aliitwa profesa kupitia mgongo wa mtu kisha akakutana na questionable ubingwa wa yanga

Enyi watu wenye critical footbal analysis skills, nisaidieni, yanga wanavyosema wana timu bora kitu gani kitanishawishi nami niamini hivyo?
 
Attachments

  • FfVOQH-XoAEfB5l.jpeg
    FfVOQH-XoAEfB5l.jpeg
    45.4 KB · Views: 1

Wivu tu umekujaa. Kama timu imemaliza msimu wa ligi, huku ikiwa haijapoteza mchezo wowote! Ikachukua makombe yote; kuanzia Ngao ya Jamii, Kombe la Ligi Kuu, na Kombe la ASFC!!

Bado utasema hiyo timu haikuwa na kikosi bora. Imewafunga mara 2 ndani ya msimu mmoja!
 
Mkuu hata usihangaike kumwelekeza maana kuna watu akili zimeganda mpaka uzipashe moto ndo waelewe.
 
Na ndio niliowauliza na ndio maana hata kwenye uzi nikashauri mtumie akili hata mara moja kwa mwaka sasa wewe umejibu kwann kama swali linawahusu mikia fc?
Wewe mwenyewe mbona hujatumia akili sasa kuuliza hilo swali? Yaani unahoji ubora wa timu ambao uko dhahiri shahiri!!
 
Wamewekeza kwenye vihongo kwa waamuzi na wachambuzi wengi wa mchongo ndiyo maana kelele nyingi ubora wa kawaida tu
Toka muanze kuongea haya maswala ya hongo mbona hamletagi ushahidi?
 
Back
Top Bottom