Ukweli Usemwe
Senior Member
- Oct 29, 2013
- 168
- 77
Anajadiliwa nani hapa! Ooops! Ni yule Mbunge wa Mahakama kwa tiketi ya CCM! Ahesabu ameumia! Akawaulize waliorudishwa kinguvu na Mahakama katika ndoa zao, kama wanazifurahia tena!
Kumbe unajua kuwa mgombea binafsi hadi katiba mpya kwa maana hiyo kwa sasa mbunge ni lazima apitie chama cha siasa ndipo achaguliwe na wananchi kuwawakilisha bungeni!
Kafulila aliomba msamaha wakamrudisha kundini saivi ana adabu.Kwani Kafulila amepungukiwa nini, mbona anaendelea kupiga mzigo vizuri tu bungeni na jimboni. In fact sasa hivi Zitto atakuwa more effective kwa sababu sasa hana mtu wa kumshika shati kama kipindi cha nyuma alipokuwa anaambiwa ni mbinafsi, sijui hashirikiani na wenzako. Sasa hivi kazi tu.
Uligusia suala la mgombea binafsi ndo maana nikakujibu.topic inazungumzia ubunge wa mahakama na tunasema mbunge wa mahakama ni mbunge na mwakilish halali wa wananch. Naona umeweka stress kwenye mgombea binafs,hiyo inazungumzwa kukoleza point ili uelewe wewe mwenye akili za mbali sote tunajua kuwa katiba haijaruhusu hlo
mkuu chama huwa kinapendekeza tu. wanaomchagua mtu kuwa mbunge wao ni wannanchi wa jimbo husika. au unaongelea wale wa viti maalumu kama akina vicky kamata na joice mkuya?Ukishajua kuwa chama hakikutaki hata kidogo kwa kukuchoka kwa kukiuka matakwa ya chama halafu unang'ang'ania hadi mahakamani, kuna raha gani ya kuwa mwanachama kwa amri ya mahakama? Hii inatokana na mfano halisi kwa Zitto Kabwe na wengineo wa aina yake.
wanasayansi ya jamii wanasema "Knoledge is not universal". Hapa naona kuna tofauti kubwa sana ya neno USALITI lakn binafsi nadhani neno hili linatumiwa kama kisingizio tu na baadh ya watu ili kuwabagua wengne!
Ukishajua kuwa chama hakikutaki hata kidogo kwa kukuchoka kwa kukiuka matakwa ya chama halafu unang'ang'ania hadi mahakamani, kuna raha gani ya kuwa mwanachama kwa amri ya mahakama? Hii inatokana na mfano halisi kwa Zitto Kabwe na wengineo wa aina yake.
Je hapo ndio mwisho wako wa kufikiri?
Kumbe umeshalewa sasa kuwa mbunge anapendekezwa na chama ndipo anagombea ubunge jimboni! Safi sana.mkuu chama huwa kinapendekeza tu. wanaomchagua mtu kuwa mbunge wao ni wannanchi wa jimbo husika. au unaongelea wale wa viti maalumu kama akina vicky kamata na joice mkuya?
Endeleeni kuchangia mods walijisahau wakaifuta nadhani labda ni kwa bahati mbaya.