Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nmekuwa nikishuhudia baadhi ya watu wenye visa kama hivi:
Unakuta mtu ana maindisha misosi, anafunga friji na funguo ili tu watu wasile matunda au maziwa ambayo ni ya familia ambayo hata hajui bei yake.
Anafungia t.v chumbani ili watu wasiangalie akiwa hayupo, anawakalisha watu chini eti wanachafua makochi na sebule.
Ana maindi kuona mtu anainjoy life ile umepumzika tu ataanza visa mradi akukurupue tu ukafanye kazi ambazo sio hata za lazima.
Anamaindisha vitu vidogo sana, mfano anaweza kulizua zogo tu kisa kikombe,sahani au sufuria. Eti hapendi tu litumike na mtu flani.
Hela ipo na inatosha kununua vitu in bulk ila ananunua vitu kwa reja reja tu bila sababu ya msingi na vinapoisha fasta anabwata kwamba kuna misuses.
Gari zipo ila hataki mtu aendeshe makusudi tu, hata kama kuna emergency atakutembeza kwa mguu juani akupandishe daladala au taxi ila gari zipo uani zinanyewa na ndege tu.
Ana hela ila hawezi msaidia hata baba au ndugu zake wa damu, sijui tuite ubahili yani mtu ndugu zake waweza kuwa wana ukata uliopitiliza ila kuwainua hali zao tu asiweze.
Haya ni machache miongoni mwa mengi, najua humu mpo pia watendaji na wahanga...Kuna faida gani mtu ukiwa na tabia ya aina hzo maishani mwako!?