Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hali sio shwari huko Uganda, na kwavile hao ni marafiki zetu kwani M7 alishatuonesha kuwa tutakuwa na biashara ya bomba LA mafuta nasi tutauza gas huko.
Jee tumejiuliza hali inayoendelea huko ya mapambano ya udikteta yatatuacha salama? Waganda wameona tunamuunga mkono M7 kwa sababu ya bomba LA mafuta na biashara ya Gas, lakini jee M7 aking'olewa kweli kuna biashara hapo au tutapata maumivu ya hasara?
Nawahakikishia huyu aitaye wanainchi wake PIG wanamuondoa na sisi tutabeba machugu ya kuondolewa kwa dikteta huyo.
Tusishangae bomba LA mafuta likaenda Mombasa baada ya YKM kuondolewa!
Sent using Jamii Forums mobile app