M7 atauawa kwa mapinduzi Nina uhakika na hiloHali sio shwari huko Uganda, na kwavile hao ni marafiki zetu kwani M7 alishatuonesha kuwa tutakuwa na biashara ya bomba LA mafuta nasi tutauza gas huko.
Jee tumejiuliza hali inayoendelea huko ya mapambano ya udikteta yatatuacha salama? Waganda wameona tunamuunga mkono M7 kwa sababu ya bomba LA mafuta na biashara ya Gas, lakini jee M7 aking'olewa kweli kuna biashara hapo au tutapata maumivu ya hasara?
Nawahakikishia huyu aitaye wanainchi wake PIG wanamuondoa na sisi tutabeba machugu ya kuondolewa kwa dikteta huyo.
Tusishangae bomba LA mafuta likaenda Mombasa baada ya YKM kuondolewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini hiyo ?
Hali sio shwari huko Uganda, na kwavile hao ni marafiki zetu kwani M7 alishatuonesha kuwa tutakuwa na biashara ya bomba LA mafuta nasi tutauza gas huko.
Jee tumejiuliza hali inayoendelea huko ya mapambano ya udikteta yatatuacha salama? Waganda wameona tunamuunga mkono M7 kwa sababu ya bomba LA mafuta na biashara ya Gas, lakini jee M7 aking'olewa kweli kuna biashara hapo au tutapata maumivu ya hasara?
Nawahakikishia huyu aitaye wanainchi wake PIG wanamuondoa na sisi tutabeba machugu ya kuondolewa kwa dikteta huyo.
Tusishangae bomba LA mafuta likaenda Mombasa baada ya YKM kuondolewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kulikuwa na project ngapi kabla ya 1977 za East African Community? Mbona zote zilikufa baada ya EAC kujifia? Na sababu za kujifia in za kisiasa na chanzo no viongozi wakuu kutoelewana tuu,bomba la mafuta sio project ya laki 2 kiongozi paka m7 atoke project itakua imekwisha na mafuta yameanza kuuzwa sasa atakaye kuja kuchange direction lazima atathmin cost ndo apo atakwama na biashara itaendeleaa na interest za nchi haziingiliwii kiongozi kuna sovrgnty so przdnt atakykuja ugnda analitambua hlo tz tulikuwa htuusiku na politics zao ni mtizamo wangu tuuh..
Sent using Jamii Forums mobile app
kipind kile kulikua sababu kuu ya kuvunjika ushirika ilikua ni tofauti za kiideology ya uongozi mfano tz chini ya mwalimu tulikia na socialzm ukija ug amin alikuwa realy dicttor kenya democracy kupitia utofauti huu kila nchi ikawa na sera tofauti za kimaendeleo kitu kilichopelekeaa muungano ukafaa....Unajua kulikuwa na project ngapi kabla ya 1977 za East African Community? Mbona zote zilikufa baada ya EAC kujifia? Na sababu za kujifia in za kisiasa na chanzo no viongozi wakuu kutoelewana tuu,
Kulikuwa na shirika LA ndege,reli, bandari nk lakini yote yalijifia hivyo mambo ya M7 yanaweza leta athari kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshajiuliza asipong'olewa je itakuwaje. Mambo yenu ya bavicha yaishie ofisini kwenu sisi hatutaki machafuko nchini kwetuHali sio shwari huko Uganda, na kwavile hao ni marafiki zetu kwani M7 alishatuonesha kuwa tutakuwa na biashara ya bomba LA mafuta nasi tutauza gas huko.
Jee tumejiuliza hali inayoendelea huko ya mapambano ya udikteta yatatuacha salama? Waganda wameona tunamuunga mkono M7 kwa sababu ya bomba LA mafuta na biashara ya Gas, lakini jee M7 aking'olewa kweli kuna biashara hapo au tutapata maumivu ya hasara?
Nawahakikishia huyu aitaye wanainchi wake PIG wanamuondoa na sisi tutabeba machugu ya kuondolewa kwa dikteta huyo.
Tusishangae bomba LA mafuta likaenda Mombasa baada ya YKM kuondolewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wake huyu wa kwetu atampa askari
Ofcoz mikataba si ya Mu 8 ndo maana tunasign makablasha na kuyatunza na ndo maana Mu 8 alitupa kishika uchumba cha vita wakati tulipigana na Idd Amini na si Mu 8bomba la mafuta sio project ya laki 2 kiongozi paka m7 atoke project itakua imekwisha na mafuta yameanza kuuzwa sasa atakaye kuja kuchange direction lazima atathmin cost ndo apo atakwama na biashara itaendeleaa na interest za nchi haziingiliwii kiongozi kuna sovrgnty so przdnt atakykuja ugnda analitambua hlo tz tulikuwa htuusiku na politics zao ni mtizamo wangu tuuh..
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafatia jiwe kung'olewa ndo unachoogopa wewe...ebu nenda lumumba kuleUmeshajiuliza asipong'olewa je itakuwaje. Mambo yenu ya bavicha yaishie ofisini kwenu sisi hatutaki machafuko nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app