Hivi udom ni chuo au high level school

Bebrn

Senior Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
103
Reaction score
24
Nasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa mkopo hata mara moja, kutokana na hilo nikasema ngoja nikaongee na loan officer wa hapo chuoni kwao na majibu aliyonipa ni nikawa najifikilia kweli hiki ni chuo au high level school maana watu wengi hawajitambui wapo kama mazezeta. loan officer eti kaniambia "MIMI SIUSIKI WALA SIJUI KWANINI HAWAJAWEKIWA ELA MPAKA LEO, LABDA WAENDE DAR KUFUATILIA" .........yaani sikujua umuhimu wa yule mtu pale, nawaonea uruma dada zetu maana ndio inawalazimisha kwenda kujiuza ili ajikimu na yeye amalize chuo' """"""serikali wanalojibu ila wamelikalia""""""""""""""'
 
kwakwel polen sana!!! ila jaribun sana pia kukomaa na huyo mtu wa mikopo hapo chuo,jaribuni pia kuwasiliana na loan board!! yan kuna watu wana mikopo na bado wanaona maisha magumu je kama huna itakuaje??? poleni sana!!!!
 
nasikia huwa watawala wanawasifia kwa tabia yenu nzuri ya kutopenda migomo kama UDSM...kwa nini msiwaambie hao watawala wwasaidie aisee........
 

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo baba. kama unafananisha UDOM na high school basi hamia RUGAMBWA. YOU ARE RIGHT BUT NOT CORRECT
 
Hicho ni chuo kikubwa na sio chuo kikuu...
:shut-mouth:
 
Watanzania wengi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Nazidi amini tusi hili
 

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kuliko kawaida. Tatizo la baadhi ya wanafunzi kutopewa fedha yao kwa wakati na KULINGANISHA UDOM NA HIGH SCHOOL kwa sababu tu afisa wa Bodi ya mikopo kakujibu ndivyo sivyo sijui hata logic yake. Pole sana mama.
 
Kwa nini mnaidhalilisha kiasi hki udom?
 
UDOM kipo kisiasa zaidi kuliko kitaluma. Thats why hata waajili hasa private sector wanawastukia walio maliza UDOM.
 
Hawa si ndio wallipia Kikwete fomunya kugombea urais?
 
i thought kuna hoja ya msingi sana nilopoanza kusoma thread hii kabla ya kuifungua yote. but i came to realize kuna watu uwezo wao wa ku analyze mambo na kutoa judgement ni mdogo sana. huyu kama ni msomi wa chuo kikuu basi nchi hii ina safari ndefu sana.
 
sasa mbona mada na heading tofauti?? mnatuvuruga bwana sekondari na mikopo wapi na wapi?
 
mbona heading na mada ni tofauti?? mnatuvuruga bwana we sekondari na mikopo wapi na wapi?? mjipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…