Hivi udom ni chuo au high level school

Kile ulichotaka kutufahamisha ni kizuri,ila namna ulivyokiwasilisha ni tofauti.Tatizo ni kubwa wala siyo UDOM pekee hata vyuo vingine kuna wanafunzi wachache hawajalipwa tena hata wale wanaosoma nje ya nchi haswa China.Bodi ya mikopo imejaa mazuzu kiasi cha kutokuwa na Afisa ambaye anaweza kuwa mfuatiliaji wa malalamiko ya wanafunzi na kuyafanyia kazi.Wao ndoto zao ni kujaza magari kwenye viunga vya bodi wakisubiri wanachuo wagome ndipo wazinduke kutoa maelezo.Mwisho,nadhani umefananisha UDOM na High School kwasababu ya stress na shida za chuoni, Au kwa kuwa ni vigumu kutenganisha shule za kata,UDOM na ilani ya ccm. Serikali ya magamba isiwatese wanachuo kwani inajipalia mkaa,poleni UDOM!
 
Ni kweli udsm hakuna ubabaishaji,ukweli ndo huo ndugu zangu
 
Chuo Tz ni UDSM vingine ni mifano tu...na ndo maana watu wa udsm wana influence serikali sio mbumbu kama UDOM...kueni wakali kama UD la sivyo mtajiuza sana mwaka huu
 
Pia Sua baadh ye2 ha2japata toka oct,asikwambie m2 hali n ngum kupita maelezo,bod wametudanganya sana.inafka wakat nataman hata kuacha chuo kabsa...Iv hii bodi inafanya haya kwa mujib wa kanun gan?
 
Threads nyingine humu zinafurahisha sana yaani dogo affisa mikopo wa
serikali ya wanafunzi tena undergraduate wewe unagenaralise kwamba ni chuo
chote kina watu wa aina hiyo
sasa hapa nani ana fikra finyu kama sio wewe

Kila kitu mnabeza serikali imejitahidi kufanya hiki kwa ajili ya watanzania kajamaa
fulani hata hakatambuliki vyeti vyake kanabeza kwamba hii ni high school acheni
uropokaji bwana mi mwenyewe ni kweli huyo dogo nilionana nae jana j2 affisa mikopo
nikaona hilo tatizo ila sio kwa chuo kizima
mtoa mada jaribu kuliangalia upya.
 
wakigoma ndo mnahangaika kuleta polisi kutuliza ghasi.natamani ifike wakati watu wanaowanyima wenzao haki zao wanyongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…