kwa hiyo sasa ni nusu nusu ,wazungu nusu weusi tiiii nusu🙂 kazi wanayo kwa ustaarabu wetu sisi ngozi ngumuUfaransa waliwakaribisha watu weusi pale zamani sana. Na watu weusi wanazaana kuliko wazungu matokeo yake ndio haya. Kwa Ulaya nchi zenye waafrika wengi ni Ufaransa na Ubelgiji.
Ufaransa hakunaga ubaguzi.Assimilation policy
Utakuwa mgeni na Ufaransa...miaka nenda rudi France imejaa watu weusi tena kushinda hata Algeria na Tunisianimetafakari sana leo baada ya kuangalia lineup ya timu ya ufaransa na robo tatu ya wachezaji ni weusi tiii ,sasa nimejiuliza sana hivi hiyo nchi hakuna wazungu kabisa maana nina hakika jambo kama hilo kamwe haliwezi kutokea Afrika kwa timu nzima kuwa wazungu tupu .Nimejiuliza tu mimi siyo baguzi jeusi
nimetafakari sana leo baada ya kuangalia lineup ya timu ya ufaransa na robo tatu ya wachezaji ni weusi tiii ,sasa nimejiuliza sana hivi hiyo nchi hakuna wazungu kabisa maana nina hakika jambo kama hilo kamwe haliwezi kutokea Afrika kwa timu nzima kuwa wazungu tupu .Nimejiuliza tu mimi siyo baguzi jeusi
kwa hiyo sasa ni nusu nusu ,wazungu nusu weusi tiiii nusu🙂 kazi wanayo kwa ustaarabu wetu sisi ngozi ngumu
Mwee ..timu za taifa nazo zinanunua wachezaji
basi huko ni zigizaga mkuu
hii inaweza kuwa coment ya mwendo kasi.Africa mna fedha za kuwa nunua hao wachezaji ?