Hivi ufaransa wazungu wameisha?

Blacks are thought to be only excellent in sports and not in things requiring expertise. kama unabisha angalia marekani utaona.
 
Acha dhambi ya ubaguzi wewe!

Wote hao ni wafaransa!

Pia inaonyesha umeishia darasa la tatu ukaanza biashara ya bodaboda ama kuuza maji prematurely ndo maana unauliza majibu, ungefika la-nne ungejua ASSIMILATION POLICY ya wafaransa na usingeleta huu UKETO hapa!

Jisomee MEMKWA!
 
aiseee
 
Ufaransa hakunaga ubaguzi.Assimilation policy
wewe jidanganye hakuna Ubaguzi sababu timu ya Taifa imejaa weusi, na rafiki mzaliwa wa Ufaransa mweusi wazazi ni West Africa ananiambia ni kunaubaguzi hatari sana na anasema Ufaransa wazungu wengi wanapenda Rugby hii soka imependwa sababu ya 98 worldcup ila sport yao kubwa ni Rugby. ila Ubaguzi kila dunia Naweza kusema Tanzania tuna Wahindi wengi labda sababu hawajichanganyi ila nao kama wanavipaji wawepo timu ya taifa stars.
 
Timu ya taifa ya ufaransa ina wachezaji wengi weusi na hii imekuwepo tangu zamani hata kipindi cha nyuma wakati akina Michael Platin bado wanacheza ilikuwa ni 50-50 weusi kwa wazungu.
Ina aminika kwamba katika mataifa ya ulaya ambayo ni rahisi kupata uraia wa kudumu ni pamoja na ufaransa na hasa kwa watu wanaotoka kwenye mataifa yaliyowahi kuwa makoloni ya ufaransa, hii inachangiwa na colonial legacy iliyoachwa na ufaransa katika mataifa hayo ikiwa ni pamoja na lugha,.... ndio maana tunaona waaafrika wengi wanaotoka ukanda wa afrika magharibi wakiingia ufaransa kama nyumbani kwao na kuanzisha makazi na hatimae familia mwisho wa siku ndio tunawaona akina Sokho,Sagna,Evra,Mhamadu n.k na hata ukifuatilia utaona hao weusi wengi asili yao ni SENEGAL,IVORY COAST,CAMEROON etc.. na kwa bahatii mbaya zaidi kwenye swala la michezo hasa football watu wenye juhudi zaidi ni hao weusi ambao wengi sio watu asilia wa kule, hivyo basi na wao kwa vile ni taifa kubwa lilopo ulaya ambapo mchezo wa soka ndio wenye uzito wa hali ya juu kuliko yote hawana budi kuwachukua hao wenye uwezo zaidi ambao wengi ni weusi.

Nadhani kwa huu uelewa kidogo nilonao unaweza kupata hints
 
Ni vyema ukamjibu vizuri kwani jamaa ameuliza tu, mbona hata Uingereza kuna mechi Chelsea ilijaza wageni watupu bila mzawa hata mmoja watu wakahoji na magazeti ya kaandika. Unafikiri walikuwa hawajui policy ya usajili au nao waliishia la tatu kama unavyodai!? Unataka kutuaminisha umesoma kisa unaijua hiyo Assimilation policy?
 
Unayo hoja mkuu.
 
asante mkuu kwa kunitetea Mungu akuongezee burasa wewe na kizazi chako
 
Asee ufaransa ubaguzi upo sana tu ila kweny football wameamua kuwapa nafasi kwakua hawana namna namara nyingi ukiona mchezaj mweupe ujue nimwarabu kama akina zidane, ribery, benzema, nasry, etc wazawa wanfanya mambo zingine
 

Syllabus ya Tanzania haionyeshi mwanafunzi wa class 4 kufundishwa administrative system kwahiyo umechemka.

Admins system kama
1:Assimilation Policy
2πŸ˜€irect rule
3:Indirect rule
4:Apatheid policy ya Boers

Hizi zote ufundishwa class 7,

eti "Jaji Mfawidhi" ovyooo
 
Specialization of labour. Weusi wanacheza mpira wazungu wanajenga uchumi.
 

Wazungu wako kwenye kurusha ndege na kusoma sayansi, weusi low IQ kucheza mpira (samahani kama nimewakwaza)
 
du mkuu umeuwa kila kitu.kula tano kiongozi
 
Labda kasoma shule za hawayuu,okee,thankyu,yunoo.
 
Ufaransa Waafrika na Waarabu wamejaa sana na wamekuwepo toka enzi za ukoloni ndo maana leo hii timu yao utaona imejaa weusi.
Pia ndo nchi yenye waislam wengi zaidi barani Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…