Kenya imepata maji mengi chini ya ardhi katika eneo kame kabisa ya Turkana
Misri inasaidiwa hasa upande wa jeshi ili isiipige Israel. Makubaliano ndio hayo, ndio maana US haiwezi kumkubali MorsiMkuu unaweza kunieleza uhusiano uliopo kati ya Misri, Israel na USA, nimewahi kusikia kua katika utawala wa misri tokea kwa Gamar Nasri haijawai tokea kwenye Cabinet akakosa mtu mwenye asiri ya Israel na Misri ni nchi ya pili dunia kusaidiwa na USA baada ya Israel.
Misri inasaidiwa hasa upande wa jeshi ili isiipige Israel. Makubaliano ndio hayo, ndio maana US haiwezi kumkubali Morsi
uhusiano huo uko official mkuu sio jambo la siri siri ni kitu ambacho kiko wazi kabisa na kila mtu anajua. Siku misri itakapovamia israel, marekani ataishukia.Mkuu sijui kama hiyo ndo sababu kubwa lakini yawezekana kuna yaliyo nyuma ya pazia katika uhusiano wa haya mataifa matatu(Miasri,Israel & USA). Umewahi kufuatilia baadahi ya picha za kwenye dola zina maana gani, kuna mambo mengi ambayo nadhani kwa sisi hatuyajui yanayofanyika katika mataifa hayo matatu.
tumekataa kujiunga katika defense pact na nchi zenye viongozi na msimamo wa kiuchokozi (aggressors) yaani ujiunge na Kagame na Mseveni na Ethipia nchi ambazo kila siku zinatoboana macho na wengine! Tuna wazimu au si kujiingiza kwenye majanga huko!Swali
Kwa nini katika huo Muungano TZ haimo na hali ndo yenye eneo kubwa la ziwa Nyanza?
Je, Tz leo hii ikaamua kufanya miradi kadhaa ya kuyatumia hayo maji, je hizo nchi zitaamua kuivamia tz?
uhusiano huo uko official mkuu sio jambo la siri siri ni kitu ambacho kiko wazi kabisa na kila mtu anajua. Siku misri itakapovamia israel, marekani ataishukia.