Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Wanajukwaa naomba kufahamu juu ya uhuru wa mtu au wakitu. Uhuru ni nini maana kuna watu tunashindwa kuelewena kati ya kijana aliyejiajiri na kijana aliyeajiliwa .
📌 unaweza ukawa unaingiza kiwango kikubwa cha pesa kutoka kwa kazi yako ila hauko na uhuru... sawa unapata hela ila hiyo hela Hata uifaidi hata kidogo.
Nina ushuhuda wa kaka yangu ambaye alikuwa mlinzi na alikuwa analipwa mshahara sio chini ya 300k kwa mwezi ila ameamua kuacha kazi na kujiajiri kwa siku anaingiza 20k kwa biashara yake ya kuuza mtumba. Lakini kuna siku hali inakuwa tete hauzi hata nguo moja lakini ukijiajiri mvua yako jua lako kwa faida yako.
Leo hii amejenga. Sema safi endelea kupambana kula mshahara kumbuka mkipata mshahara jenga au nunua kiwanja kazi iko na kikomo ila biashara.
Mfanyabiashara ataendelea kuiongoza dunia iko hivo tafuta hela.
Lengo sio uache kazi nop jiongeze kazi ina mwisho.
Asante.