Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
hehehehehehe kunafurahisha kuna kipub kimoja huwa nahudhuria sana nikipitia maeneo hayo kuna kiti moto kitamu sana pale
Umekosea nipe mji nikutajieJJ, Lillys, Kwa Afande, Kwa Kapinga, Palestina, Sunguchini, au Pale karibu na Kwa Kakobe?
Umekosea nipe mji nikutajie
ndugu,ina maana ww huoni kama ni ujanja,unakuta vijana na mabinti wanaonekana watanashati lakini mazingira walikotokea unajiuliza wamerukaje hayo maji taka hadi wakafika mjini?! (samahani kama nitakwaza mtu).
he!! kumbe kugraduate ni elimu ya juu tu...pole yako maana ww ndo mvivu wa mwisho na unajistukia...apo wa la saba,form 4 akaenda ufund stadi,useremala,ushonaji,unesi whatever wote wanaingia kundi hilo..ata driver aliyeenda training ni graduate kwa maana ya mhitimu in kiswahili..huo ni mtazamo wako!
na umenikwaza kweli
sorry baby boy, truth gotta be spoken! afu na hiyo style ya kuweka taka kwenye mifuko zinaiva kama mboji! street nzima inanuka na mainzi ya kizungu! uwiii, bora kuishi kibamba kabisa ama gezaulole!
Nani huyo anapadis sinza?!!! ukitaka kujua ujanja w sinza tembea ucku saa8 ........ mi ntakua B.BAR nshtue nitakutembeza!!
Tukiwa na vijana wenye upeo huu ni hasara kubwa kwa Taifa. hawa ndio wanawavalishaga majoho watoto wa nursery school kwamba wamegraduet.
JJ, Lillys, Kwa Afande, Kwa Kapinga, Palestina, Sunguchini, au Pale karibu na Kwa Kakobe?
Rudi juu kwenye hii thread ndio utajuwa mtoa mada alikuwa na maana gani. na hata wewe unajuwa kwa mazoea ya Tanzania tukisema huyu amegraduet huwa tunamaanisha nini, ambae yuko kinyume na ukweli huu basi aende pale mtaa wa Congo ndio kuna vijiwe vya kubishana.ivi kugaraduate kwa kiswahili inaitwaje?
sheria ya majoho ni chuo tu?
Barks!!!!!!!Sinza My Dear
sorry baby boy, truth gotta be spoken! afu na hiyo style ya kuweka taka kwenye mifuko zinaiva kama mboji! street nzima inanuka na mainzi ya kizungu! uwiii, bora kuishi kibamba kabisa ama gezaulole!