Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

kwa msiojua sinza ni sehemu ya "wakuja" mjanja hawezi kaa sinza hata siku moja!!!

umeongea ukweli.wakuja ndo wanazimikia.kwanza sinza kero,kama unaenda asubuhi mjini Rabda ukageze na gari mwenge vinginevyo utakoma.sinza mvua ikinyesha barabara zote zinajaa maji.vibaka wanaokaba kwa mtogore,ali maua na kijitonyama wanatoka sinza.nyie kaeni sinza sisi tutakuwa tunakuja kuwamegea na kurudi makwetu.
 
ila hii post hapa si mahali pake, me sioni chochote kuhusu urafiki wala mahusiano labda ungeipeleka jukwaa la habari mchanganyiko
 
Wapi dar hapajai maji mvua ikinyesha?
 
ila hii post hapa si mahali pake, me sioni chochote kuhusu urafiki wala mahusiano labda ungeipeleka jukwaa la habari mchanganyiko

Invisible,Max,Silencer,Pain Killer,Paw na Farida ndio wanaopanga thread ikae wapi.
BACK TO TOPIC
 
Sinza kuna sehemu pana Guest House kama tatu zimepangana hizo Guest House zinafuatiwa na nyumba moja ambayo mwenye nyumba imebidi aandike getini kuwa "Hii ni nyunba binafsi siyo Guest House"

Yapo maeneo mawili yenye nyumba za wageni zilizojipanga namna hiyo nayo Nairobi Guest-Jirani na Blue Bird na kule Sinza kwa Remmy mtaa wa nyuma ya Azania...

Ila EAST-WEST Sinza is the best...
 
Tukiwa na vijana wenye upeo huu ni hasara kubwa kwa Taifa. hawa ndio wanawavalishaga majoho watoto wa nursery school kwamba wamegraduet.

sio makosa yako mkuu..mi naomba tu ujiamini kwamba na wewe pale ulipoishia form 4..uligraduate ndo mana mliandika pale juu 'MAHAFALI YA KIDATO CHA 4' au 'FORM FOUR GRADUATION CEREMONY'
 
Sinza kumekucha! Pale hata saa 10 ucku chipsi, masholi wa kujiuza pia utapata!
 
Nilipofika Dar kutoka kijijin kwe2 ili niend shule pugu sec,nilikuw na ndugu wengi 2 Dar,ila nilipoambiwa kaka angu anakaa sinza nikaapa ntakaa hapohapo!Sinza watu wanaishi kwa mkumbo hasa vijtana,hakuna lolote ni kama uswahl 2,wengne wanaish manzese lakn wanasema wanakaa cnza,nimekaa sinza miaka 7,kuna uzur wake na kero kibao.
 
Sinza kuna sehemu pana Guest House kama tatu zimepangana hizo Guest House zinafuatiwa na nyumba moja ambayo mwenye nyumba imebidi aandike getini kuwa "Hii ni nyunba binafsi siyo Guest House"

hahaa i know the place pale mugabe hivii
 
sio makosa yako mkuu..mi naomba tu ujiamini kwamba na wewe pale ulipoishia form 4..uligraduate ndo mana mliandika pale juu 'MAHAFALI YA KIDATO CHA 4' au 'FORM FOUR GRADUATION CEREMONY'

Mbona unanipandisha sana elimu, mimi sikufanikiwa kupata elimu ya secondary school.
 
umeongea ukweli.wakuja ndo wanazimikia.kwanza sinza kero,kama unaenda asubuhi mjini Rabda ukageze na gari mwenge .
wewe nawe acha kupanda daladala, mwanamke iko nafiga nzuri njoo kwangu nikununulie vitz.
 
halafu mie wabongo wananiudhi sana eti magraduate wengi, kuna graduate tanznia.....kwani wanaoishi Sinza wote wamesoma Tumaini? Fweza ndo inaifanya sinza iitwe kwa wajanja...
 
SINZA SINZA SINZA, tupatungie wimbo sinza
 
SINZA SINZA SINZA, tupatungie wimbo sinza
Bongo Dar es salaam, sinza ya leo kila ya baada ya nyumba bar na zote zinajaa na hapo ndipo utakaposhangaa na watu wanamagari mpaka ya millioni 200 wakati kwa mbongo wa kawaida baiskeli tu kitendawili.
 
hapo ktk red hivi hiyo gesti bado ipo? Bado wanafua shuka zao vizuri ?
 
napata bia + k/moto B.BAR nacheki *102# mfukoni km linasoma 0.00 naenda kijiweni nacheka na atm. nadroo z kutosha naenda kona bar nang'oa wa ukwe e! 2naenda kulala ...... yaani sinza!! paache paitwe cnza.
 
atm unakuta haina hela,unapita sheli unakuta wamelala mlinzi anakwmbia jaribu bamaga,baada ya bamaga unaenda sansiro unacheza kidogo kenye ukumbi mkubwa wenye watu ka 10 unaamua kuondoka.unafika nje unakuta umeibiwa kioo.unaamua kwenda bill's.cd ya sinza ana harufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…