Na ujanja mwingine ni kuwa huduma ya baa sinza ipo indoor,
huna haja ya kwenda mbali,
ukitoka tu nje ya nyumbani kwako mlango unaokutana nao ni baa/pub!!!!!
Kudaa diidaaaa kimbiza huyooo.Post za kipuuzi hizi, unaposema vijana wengi magraduet wanakwenda kupanga sinza, kwahiyo unamaanisha wale ambao hawajapata elimu ya juu sio vijana. wewe ni mvivu wa kufikiri. edit upya thread yako ili uilete jamvini. pesa ndio mpango mzima na sio kugraduet.
Nipeni vyeti vyenu saa hiiii, nikitoka safari ntawaamua niko buze kidogo.😛lane:he!! kumbe kugraduate ni elimu ya juu tu...pole yako maana ww ndo mvivu wa mwisho na unajistukia...apo wa la saba,form 4 akaenda ufund stadi,useremala,ushonaji,unesi whatever wote wanaingia kundi hilo..ata driver aliyeenda training ni graduate kwa maana ya mhitimu in kiswahili..huo ni mtazamo wako!
atm unakuta haina hela,unapita sheli unakuta wamelala mlinzi anakwmbia jaribu bamaga,baada ya bamaga unaenda sansiro unacheza kidogo kenye ukumbi mkubwa wenye watu ka 10 unaamua kuondoka.unafika nje unakuta umeibiwa kioo.unaamua kwenda bill's.cd ya sinza ana harufu.
Nilikumis siku mbili hizi,ulikua wapi?Au mavitu ya mzee?
sorry ya aina gani hii mbona unaendelea kunikwaza.
</p><img src="http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/71139_117310695006173_6528686_q.jpg" border="0" alt="" /></p>
<p> </p>
<p><img src="http://hot255.com/cloudsfm/wp-content/uploads/2011/05/CIMG4946.jpg" border="0" alt="" />
Nakubaliana na wewe, ujanja wa Sinza ni kitimoto kwa wingi, baa ni nyingi kuliko seheu yoyote Dar na uzinzi wa hali ya juu, wanawake na wanaume wanajiuza barabarani, mabaa na night club.
ila hii post hapa si mahali pake, me sioni chochote kuhusu urafiki wala mahusiano labda ungeipeleka jukwaa la habari mchanganyiko
pale b.bar unakesha ukiangalia mpira wa uefa labda.mbona hamna kitu pale.eti sinza kuna bar,9t club.sijaon bado.bar zenyewe chafu,nzi kibao,viti vya plastic tena vya promotion ya cocacola,kili,safari au pepsi.b.bar yenyewe moshi wa kitimoto bar nzima.9t club ipi?ambiance au?haina hat sehemu ya kuchezea.ukiingia kidogo tu unatokwa jasho.niache kdog
halafu mie wabongo wananiudhi sana eti magraduate wengi, kuna graduate tanznia.....kwani wanaoishi Sinza wote wamesoma Tumaini? Fweza ndo inaifanya sinza iitwe kwa wajanja...
Sinza,aargh! Ovyo kabisaa,poor drainage,nyumba nyingi vyoo vimejaa jaribu kutembelea ndugu au jamaa kipindi cha masika,nyumba nyingi ni kuukuu with little modifications to meet rising demands
Wapi dar hapajai maji mvua ikinyesha?
sio makosa yako mkuu..mi naomba tu ujiamini kwamba na wewe pale ulipoishia form 4..uligraduate ndo mana mliandika pale juu 'MAHAFALI YA KIDATO CHA 4' au 'FORM FOUR GRADUATION CEREMONY'
Mbona unanipandisha sana elimu, mimi sikufanikiwa kupata elimu ya secondary school.