Maana kwa upande wa muziki wasanii wetu huwa hawapotezi bahati inapotokea anakuja msaani wa nje watafanya juu chini mpaka wapate collabo kama ilivyo kuwa kwa ndgu yetu Diamond alivyopiga collabo na Neyo...
Sasa sijasikia kwa upande wa bongo muvi Au Huenda wameshapata kwahyo tukae mkao wa kula......
hahahhaha ''You Gotta Be Kidding Me'' in will smith voiceKwanza akiwaona wanavyoigiza na ile cheka yake hahaahahha