Utaratibu uko hivi, pesa za wanufaika zinapelekwa vyuoni. Vyuo vinaanda utaratibu wa malipo baada ya hapo zoezi la kusaini linaanza, kwa wale waliosaini baada ya siku chache wataanza kupokea pesa zao. Kwa ambao bado hawajasaini chuo kinawasubiria kwa muda Fulani takribani mwezi hivi. Kama bado hujasaini zinarudishwa HELSB. Ukihitaji sasa itakubidi uende bodi. Ukajieleze kwanini ulishindwa kusaini kwa wakati mpaka pesa inarudishwa baada ya hapo unarudi chuo kuisoma namba maana itachukua muda sana mpaka kuja kuipata hiyo pesa