Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nimekuwa najiuliza binafsi maswali kadha ya kadha juu ya chuma ulete,mara nyingine nakosa jibu.Ila nina imani kuna watu katika jukwaa hili watanifungua baadhi ya mambo dhidi ya chuma ulete.
Binafsi siamini sana juu ya chuma ulete ila nadhani ipo kwasababu watu wanalizungumzia.
Ningependa kupata majibu dhidi ya maswala haya ninayo jiuliza kwasababu uwenda nafanyiwa chuma ulete ila sifahamu.
Je,unapochukuliwa pesa zako kwa njia ya chuma ulete utafahamu?au unaona kawaida tu..
Na ili kufahamu kama unafanyiwa chuma ulete utaganyaje?
Wanatumia njia zipi kufanya chuma ulete?
Na utajikinga vip na chuma ulete?