Kuna uongo mwingine ni uongo mtakatifu. Huo unaruhusiwa.
Ndugu zangu wanaJF ninaomba 2saidiane mana ninaona nadharia hii ya wa2 kuwa WAONGO kila kukicha kwny masuala ya uhusiano na hata ndoa sio vizur na inazid kuongezeka kila kukicha ninauliza hv sina maana kwamba cjawah kudanganya ila kunakiasi cha uwongo mana asilimia chache ya waliodanganya hawakugundulika ila weng waligundulika ninamaana ya kwamba unamdanganya mpenz wako nae anajua kuwa umemdanganya je utanyanyeje na utakuwa umepata faida gan?
Uongo wakati mwingine unakoleza mapenzi,unakuta mpenzi wako kaja kwa furaha na zawadi,kuifungua unakuta ni kazi ya zawadi usizozipenda na kiukweli hukufurahishwa nayo,ili usiweze kumuudhi itabidi umdanganye kuwa umeipenda ili kutopoteza furaha yake.
sasa ikijulikana si inaweza ikatokea tatizo hapo kaka