Hivi ukimkopesha mwanasheria mahiri kama Lissu unaweza kumdai kweli?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habari wakuu, hivi ikitokea unamkopesha mwanasheria mahiri kama Lissu na akagoma kukulipa unaweza kuhangaika kumfungulia kesi ya madai au ukubali tu yaishe?
 
hahahahaha kama anamakosa mbona unamdai tu.

Anaopingana nao huwa si kweli ndio kweli ndio maana wanaumbuka mahakamani
 
Cheng...e Anampunga Kibao Wa Serikali Na Alishasema Kwamba Mtu Wa Kumkamata Nchi Hii Yupo Ila Mtu Wa Kumfunga Hayupo
 
Kwa nini usimdai mkuu ?

Mali bila daftari huisha bila habari ,kama hofu yako ni ujuzi wake wa sheria mkopeshe kwa mkataba wa maandishi au akale kiapo mahakamani , hapo no way he will pay you back .
 
Habari wakuu, hivi ikitokea unamkopesha mwanasheria mahiri kama Lissu na akagoma kukulipa unaweza kuhangaika kumfungulia kesi ya madai au ukubali tu yaishe?
Mnavyomuabudu huyo mtu kuna siku utakuja hapa kutuuliza akikuchukulia mke ufanye nini.
 
Habari wakuu, hivi ikitokea unamkopesha mwanasheria mahiri kama Lissu na akagoma kukulipa unaweza kuhangaika kumfungulia kesi ya madai au ukubali tu yaishe?
inawezekana kumfungulia kesi..kama tu ulifuata taratibu za kisheria kumkopesha iliwemo mashahidi na kuandikishana.

sio yeye peke yake ndie mwansheria dunia nzima
pia kuijua sheria na kuwa mwanasheria sio kigezo cha kuwa juu ya sheria..yaani useme hashtakiki...noo!
anashtakika na kizimbani anapanda!
 
kwa utamaduni/woga wa heshima wetu utabaki kumuona kwenye vioo. lakn ukijikita kwenye mikataba yenye vigezo vya mikataba unaweza kumpa hata mkono mahakaman na mkakaa kiti kimoja kusikilizia mhamz ya mahakama.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…