Crouch?????? Hayuko kwenye England timu miaka zaidi ya 2 sasaWapange tu hivi
1.Butland
2.alexander anord
3.ashley young
4.john stone
5.cahill
6.jonjo/milner
7.sterling
8.handerson
9.crouch
10.kane
11.rashford
Walker umemuweka wapi mkuu?Wapange tu hivi
1.Butland
2.alexander anord
3.ashley young
4.john stone
5.cahill
6.jonjo/milner
7.sterling
8.handerson
9.crouch
10.kane
11.rashford
Labda ubingwa wa fujo na kunywa pombeIla watabeba ubingwa mwaka huu
Hivi Lingard naye mtu wa kumhesabu kwa nchi iliyo ulaya???Kweli we ndugu una bifu kali sana na Uingereza!!!!!!
Liverpool amekwenda fainali ya UEFA with some stunning performances of British midfield trio ya Jordan Henderson, James Milner and Alex oxlade Chamberlain.
Left back best performances of Fabien Delph after Benjamin Mendy suffered a serious injury. John Stones,Chris Smalling,Phil Jones,Michael Keane,Gary Cahill,Ryan Bertrand are wolrd class.
Check Eric Dier pale kwenye midfield, ongezea zile attacking talents za Raheem Sterling,Delle Alli,Jesse Lingard huku mnyama Harry Kane akifanya yake with deadly kid Marcus Rashford waiting at the bench while the predator Jamie Vardy hunting a thief in the dark.
My friend,patachimbika Russia
Kwamba kwako wewe Alexander Anord ni zaidi ya Kyle Walker?Wapange tu hivi
1.Butland
2.alexander anord
3.ashley young
4.john stone
5.cahill
6.jonjo/milner
7.sterling
8.handerson
9.crouch
10.kane
11.rashford
πππππBELGIUM
ENGLAND
PANAMA
TUNISIA
Uingereza watachomoka hapa kweli!?