Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Ni swali la ajabu lakini lenye kuhitaji umakini kulijibu.
Mimi si daktari lakini kwa uelewa wangu juu ya UKIMWI ni Ukosefu/Upungufu wa Kinga Mwilini hivyo mtu hawezi kufa kwa Ukosefu wa Kinga bali Ukosefu wa Kinga unasababisha magonjwa kama kisukarti,mafua,kichocho nk kumshambulia mtu na hatimaye kufa.
Tuache kuunyanyapaa ukimwi jamani kwani hakuna mtu aliyedhibitika kufa kwa UKIMWI bali UKIMWI ulisababisha ashambuliwe na ugonjwa fualini kisha kufa.
Inawezekana nisieleweke