huna mume mkuu wakushuulikia noma yako mida hii..?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We zipate kwanza mzee baba,.
Hana nguvu za kiume,.huna mume mkuu wakushuulikia noma yako mida hii..?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tupo wakali wa show... zima hizo show mpapasoo... [emoji848][emoji848][emoji848]Hana nguvu za kiume,.
Baba nipo hapa kauntaNilikua nikiwaza Sanaa hivi mfano nikipata mapesa mengi mnoo matumizi yake yatakua ni yepi kweli ninaweza ruka hivi vitu viwili watoto wazuri na vile vifurahishe moyo wangu...
Ama pesa inamatumizi gani kwa walio matajiri je! Inatumika kama mapambo ama kuna issue zingine wanafanyia akina (mo dewij, bakhresa , dangote na akija bilgate)
Kuna watu watasema wanafanya innovation na invasions then next!?
Hapo ndipo ninapo jiuliza kazi ya hizo pesa ni zipi!?[emoji3][emoji3]
Nipo hapa ibungu bar nagonga moja moja baridi wazo likanijia...
Baba nipo hapa kaunta
tangu nimezaliwa sijawai kuonja pombe wala kutamani pombe nimekaa na marafiki ambao wanakunywa tena wanazungusha round ya nguvu lakini me binafsi nimeapa sitokuja kuweka pombe mdomoni wala kuwa na mwanamke anayetumia pombe.
Vp madem unawagonga sanaatangu nimezaliwa sijawai kuonja pombe wala kutamani pombe nimekaa na marafiki ambao wanakunywa tena wanazungusha round ya nguvu lakini me binafsi nimeapa sitokuja kuweka pombe mdomoni wala kuwa na mwanamke anayetumia pombe.
Sababu yako iko Genuine sana.Nimekua nimeona jinsi pombe ilivyoharibu haribu maisha ya baba zangu na jinsi gani ilitaka kuharibu ukoo kabisa siwez kuweka pombe mdomoni kabisa , yani ndugu kila wakitaka kukutana bar, kukiwa na msiba watu wanatafuta bar iliyokaribu , kukiwa na sherehe watu wanashinda bar, ndugu wanaitwa mkutano wanafikia kwanza bar , baada ya kunywa hapo ni masengenyo yanaanza wanaume wazima wanaanza ku discuss family za wenzao wanatukanana wanapigana kesho wanaongea tena yani pombe imeleta majungu , imerudisha nyuma maendeleo anayependa pombe yeye anywe tu me no.
sisi tulikua tunafanya vizuri school na katika mambo mengi basi ndugu walikua hawaishi kuongea wakikutana bar full matusi mama yangu anatukanwa huko alafu wanaofanya hivyo ndugu wakaribu kabisa habari zinafika home, matusi hayo wanapotukana mzee anakuwepo nayeye pia anakunywa anapuuzia lakini inakua too much mpaka yanafika home, ndugu wanapiga majungu eti mzee sisi sio watoto wake , hiyo yote sababu tumetoboa kielimu tena tumetokea shule za kayumba wao watoto wao wamesoma international na shule zimewashinda wameishia kuvuta bangi tu , ilifika kipind mpaka kaka yangu akasema hawa watu hawato kanyaga nyumbani wala sisi hatutoenda kwao yani ndugu mwema lakini wakinywa pombe unajua ubaya wanaokuwazia.Sababu yako iko Genuine sana.
Tofauti na upande wangu,mimi nimeona pombe inavyowafurahisha ndg zangu wakikutana na ku-discuss mambo yao kwa furaha na amani.